Hizo combinations ni za watu wa kazi , na kwa experience yangu wengi wanaopata shida ni wale waliozoea kutafuniwa na kumeza hasa huku olevel , kama alikuwa ni mwanafunzi wa kusubiri mwalimu amtafunie ndio hivyo sasa .
Wengi huwa wanatoka shule binafsi,sasa mtu kama huyu akija huku shule za kajamba nani tena mwalimu unamsikilizia kwenye bomba na mambo ni ngumu kama hivyo lazima uwe mwehu .
Miaka hiyo unaskilizia tu matoto ya feza boys ,Marian ,Saint Francis yanasolviwa waswali na walimu na yanafundishwa na kupata materials za kila aina .
Ndio maana huwa naamini Division one ya mtu aliyesoma shule ya serikali ni zaidi ya Division one ya mtu wa private