PCB siyo tahasusi ya mchezo

PCB siyo tahasusi ya mchezo

Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.

Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.

Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.

Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.

Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Wee dogo vipi? Tofauti ya PCM na PCB ni somo ya Advanced Mathematics na Biology! Sasa ĺinganisha Adv. Math na Biology ndo unambie lipi gumu?
 
Ulipokua unazuga hutoi Jibu mpaka uchezee calculator
🤣🤣🤣🤣Em weka ilo swali kwny calculator ikupe jibu lililopo apo unipe mwanzo nlikuonyesha swali linafanyika Ivo ivo coz sikua na sehemu ya kuandka nlivokuandikia apa nkaeza Fanya next step
 
Ulipokua unazuga hutoi Jibu mpaka uchezee calculator
Hili swali liliisha kwa Mimi kujua" Kwa law za calculus Io x^3 tafta derivative Ake then zidisha na Io function af kwny t weka x^3" sasa nipoteze muda kueka kwenye Caluu la nini?
 
Yaan Wewe palepale ungenipa jibu ningejua hujagusa calculator suala la kupoteza Muda nimegundua unachezea calculator usijifanye mjanja
 
Emu acha kujifanya hujui ulichofanya
We jamaa niingize ilo swali kwny Caluu ikupe jibu ilo afu untumie ukisema Caluu ya cm shuleni sikua na Io Caluu ya cm nlikua na fx991 sasa sijui nlikua natumiaje
Afu Fanya njia yangu kama haikupi jibu ilo
 
Mi kuna jamaa zangu tumesoma wote Olvel na Alevel tukaenda shule moja, sasa huyo jamaa alikuwa PCM alikuja kuwa kilaza ajabu mpaka nikawa nashangaa imekuwaje.

Mi nilikuwa EGM, na tuliluwa na utaratibu wa kutungiana pepa za hesabu, ikabidi yule jamaa nimualike darasani kwetu! Huwezi amini mtihan ukaja akapiga sijui 15%, mpaka leo huwa najiuliza hizo PCB, PCB na Mwenzake PGM zina shida gani!
Hizo combinations ni za watu wa kazi , na kwa experience yangu wengi wanaopata shida ni wale waliozoea kutafuniwa na kumeza hasa huku olevel , kama alikuwa ni mwanafunzi wa kusubiri mwalimu amtafunie ndio hivyo sasa .
Wengi huwa wanatoka shule binafsi,sasa mtu kama huyu akija huku shule za kajamba nani tena mwalimu unamsikilizia kwenye bomba na mambo ni ngumu kama hivyo lazima uwe mwehu .
Miaka hiyo unaskilizia tu matoto ya feza boys ,Marian ,Saint Francis yanasolviwa waswali na walimu na yanafundishwa na kupata materials za kila aina .
Ndio maana huwa naamini Division one ya mtu aliyesoma shule ya serikali ni zaidi ya Division one ya mtu wa private
 
Hizo combinations ni za watu wa kazi , na kwa experience yangu wengi wanaopata shida ni wale waliozoea kutafunwa na kumeza hasa huku olevel , kama alikuwa ni mwanafunzi wa kusubiri mwalimu amtafunie ndio hivyo sasa .
Wengi huwa wanatoka shule binafsi,sasa mtu kama huyu akija huku shule za kajamba nani tena mwalimu unamsikilizia kwenye bomba na mambo ni ngumu kama hivyo lazima uwe mwehu .
Miaka hiyo unaskilizia tu matoto ya feza boys ,Marian ,Saint Francis yanasolviwa waswali na walimu na yanafundishwa na kupata materials za kila aina .
Ndio maana huwa naamini Division one ya mtu aliyesoma shule ya serikali ni zaidi ya Division one ya mtu wa private
Kuna watu Sisi walikuja na one za 7,8,9 shule zao ziko top ten kitaifa ila wametoka advance hawaamini
 
We jamaa niingize ilo swali kwny Caluu ikupe jibu ilo afu untumie ukisema Caluu ya cm shuleni sikua na Io Caluu ya cm nlikua na fx991 sasa sijui nlikua natumiaje
Afu Fanya njia yangu kama haikupi jibu ilo
Bado hujajitetea
 
Wee dogo vipi? Tofauti ya PCM na PCB ni somo ya Advanced Mathematics na Biology! Sasa ĺinganisha Adv. Math na Biology ndo unambie lipi gumu?
Ni mwendo wa kumeza mikate , huku Chandy , huku Nelkon ,huku Tlanta huku Tom Duncan huku Roger Muncaster (Kwa wazee wa Matango) aisee nyieee 🤣🤣🤣
 
Hizo combinations ni za watu wa kazi , na kwa experience yangu wengi wanaopata shida ni wale waliozoea kutafuniwa na kumeza hasa huku olevel , kama alikuwa ni mwanafunzi wa kusubiri mwalimu amtafunie ndio hivyo sasa .
Wengi huwa wanatoka shule binafsi,sasa mtu kama huyu akija huku shule za kajamba nani tena mwalimu unamsikilizia kwenye bomba na mambo ni ngumu kama hivyo lazima uwe mwehu .
Miaka hiyo unaskilizia tu matoto ya feza boys ,Marian ,Saint Francis yanasolviwa waswali na walimu na yanafundishwa na kupata materials za kila aina .
Ndio maana huwa naamini Division one ya mtu aliyesoma shule ya serikali ni zaidi ya Division one ya mtu wa private
Lab nchecheme nchecheme umenikumbusha mbali sana qumanina Shule za Serikali enzi hizo kisanga sio siku hizi
 
Yaan Wewe palepale ungenipa jibu ningejua hujagusa calculator suala la kupoteza Muda nimegundua unachezea calculator usijifanye mjanja
Chezea calculator adi kesho mzee kama itakupa ilo jibu afu ngekua na forge Io njia yangu ni ya nini? Sasa mbona ina solve Mzee apa tatzo liko wapi calculator si inakupa final answer au? Mbona simple logic Tu apo final answer lingekua kwny decimal au inipe math error kabisa maana Caluu ndo mambo yake Mimi apa ngekua chumba cha mtihani iko jibu d ndo ngeweka kweny Caluu npate final answer nijaze
 
Kuna watu Sisi walikuja na one za 7,8,9 shule zao ziko top ten kitaifa ila wametoka advance hawaamini
Si mchezo , kuanza kusakua material kwenye yale mavolume ya vitabu na kupata knowledge ya kujibu mitihani yenye mitego advance si shughuli ya kitoto
 
Chezea calculator adi kesho mzee kama itakupa ilo jibu afu ngekua na forge Io njia yangu ni ya nini? Sasa mbona ina solve Mzee apa tatzo liko wapi calculator si inakupa final answer au? Mbona simple logic Tu apo final answer lingekua kwny decimal au inipe math error kabisa maana Caluu ndo mambo yake Mimi apa ngekua chumba cha mtihani iko jibu d ndo ngeweka kweny Caluu npate final answer nijaze
Tatizo umechelewa kutoa Jibu hivi unaniona Mimi kiazi
 
🤣🤣🤣Mzee mbona nmesema sikua kweny mazngira ya kusolve nmetumia mda gani kukupa Io concept ya kusolve ilo swali sasa kama najua concept ngekosaje ilo swali? Af do the assessment weka kwenye calculator ikupe jibu mzee
 
Lab nchecheme nchecheme umenikumbusha mbali sana qumanina Shule za Serikali enzi hizo kisanga sio siku hizi
Hatari sana mkuu
Mimi nakumbuka niliingia kureport shule ,qmamae hata sikusoma tuition
Dah ! Nakuta majitu yanameza vitu aisee kichwa kilipata moto balaa , nilisoma kama mwehu , we fikiria kule kwenye Physics 1 ,Ile mechanics ina subtopics zaidi ya kumi 🤬🤬 hujagusa magnetism , Heat nk
Na zote ni topics ndefu balaa
 
🤣🤣🤣Mzee mbona nmesema sikua kweny mazngira ya kusolve nmetumia mda gani kukupa Io concept ya kusolve ilo swali sasa kama najua concept ngekosaje ilo swali? Af do the assessment weka kwenye calculator ikupe jibu mzee
Yaan Wewe nimekupima kwa Muda uliokua unanizuga nikajua tu hapa calculator inabinywabinywa huko hilo ni swali la kujibu kwa kichwa tu
 
We hujawahi ku
Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.

Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.

Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.

Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.

Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA
We hujawahi kusoma hizo tahasusi, siyo pcm,pgm Wala pcb Kama una ndoga la madini unalo tu unagonga kijiti o level na advance unagonga kijiti na ukienda chuo kikuu unagonga gpa 1st class.

Kama una akili una akili tu.
 
Back
Top Bottom