PCB siyo tahasusi ya mchezo

PCB siyo tahasusi ya mchezo

Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.

Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.

Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.

Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.

Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Unajua mtu wa PCB ana mitihani mingapi,

1. Physics 1
2. Physics 2
3. Physics 3
4. Chemistry 1
5. Chemistry 2
6. Chemistry 3
7. Biology 1
8. Biology 2
9. Biology 3
10. Basic Applied Mathematics
11. General Studies
 
Mtu wa PCB anakanyaga mitihani 11.
1.Physics¹
2.physics²
3.physics³
4.chemistry¹
5.chemistry²
6.chemistry³
7.biology¹
8.biology²
9.biology³
10.bam
11.gs
Acheni masihara wazee
KO unataka kusema prac ya bios inakuongezea ugumu WA comb😂😂😂😂 ila nyie wazeee Io bam apo analalamika ngumu af unakuja unasema pure rahisi 😂 ok tuje lengo la bam n kukupatia wewe wepesi kwenye physics lakini bado unaona ni ngumu
 
Biology ya advance ni kama bahari yaan haina mwisho vitu ni vingi mno na paper huwa ni ngumu!
Pure maths maswali ni yaleyale wanabadilisha namba tu!
Ukikariri mayombia 1&2 B au A hiyo hapo
Ugumu WA bios NI kwamba mkifka advance Kila mtu anaamin muhimbili ndo destination yake then baadae ya apo ndo mnajichiuja PCB one ya7 we tayari umefeli muhimbili sahau ukipata two ndo kabisa huelew usome nini pcm d mbili Tu Una course kibao za kusoma ndo kama Yule comedian Leonard anakwambia Kala F math d ya chem na phy lakini kaendachuo cha maji engineering apo ndo utofauti ukisema bios haiishi ntaji kitabu cha pure kilicho cover kila kitu
 
KO unataka kusema prac ya bios inakuongezea ugumu WA comb😂😂😂😂 ila nyie wazeee Io bam apo analalamika ngumu af unakuja unasema pure rahisi 😂 ok tuje lengo la bam n kukupatia wewe wepesi kwenye physics lakini bado unaona ni ngumu
Huna akili nguvu za kusoma practicals za biology pekee mtu akiziweka kwenye pure anapata C au B hiyo! Hiyo classification tu ni mayombia 3.
Nani kasema bam ngumu? Hapo nimeongelea wingi wa masomo! Huwez kufananisha PCB na PCM hata kidogo
 
Kichaa pekee atafanasisha Biology¹(3hrs)+biology²(3hrs)+biology³(3hrs+20mins)+Bam(3hrs) masaa 12 na dakika 20 versus masaa 6 (adv math¹&²)
 
Kichaa pekee atafanasisha Biology¹(3hrs)+biology²(3hrs)+biology³(3hrs+20mins)+Bam(3hrs) masaa 12 na dakika 20 versus masaa 6 (adv math¹&²)
🤣 🤣🤣🤣 Ila KO wangesema bios waondoe prac ungekubali kwasabu ni mzigo? Bam inamateso gani mkuu hujui hesabu Tu Io bam nmesoma as additional mathematics olevel bila calculator na nmefaulu math sio ya kila mtu na ukijua umejua kwel hip ndo Tofauti coz wanaojua math wamerelax ndo maana mnaona ni rahisi akat bam inawatoa jasho
 
Huna akili nguvu za kusoma practicals za biology pekee mtu akiziweka kwenye pure anapata C au B hiyo! Hiyo classification tu ni mayombia 3.
Nani kasema bam ngumu? Hapo nimeongelea wingi wa masomo! Huwez kufananisha PCB na PCM hata kidogo
Ukiona prac ulitumia nguvu Ivo wewe NI mjinga 😂 😂 nimefika advance Tu week ya Kwanza PCB wamekalili michoro yote ya prac nguvu gani unatumia apo food test hatujasoma olevel? Classification si ni topic moja?
 
🤣 🤣🤣🤣 Ila KO wangesema bios waondoe prac ungekubali kwasabu ni mzigo? Bam inamateso gani mkuu hujui hesabu Tu Io bam nmesoma as additional mathematics olevel bila calculator na nmefaulu math sio ya kila mtu na ukijua umejua kwel hip ndo Tofauti coz wanaojua math wamerelax ndo maana mnaona ni rahisi akat bam inawatoa jasho
Wewe unamatatizo ya akil sio bure! Narudia huwez fananisha pcb na pcm! Pcb ni ngumu mno! Prac za biology tu ni zaidi ya adv 1&2!
 
Ukiona prac ulitumia nguvu Ivo wewe NI mjinga 😂 😂 nimefika advance Tu week ya Kwanza PCB wamekalili michoro yote ya prac nguvu gani unatumia apo food test hatujasoma olevel? Classification si ni topic moja?
Narudia huna akili rudi shule! Kuandika tu shida!
 
M
Wewe unamatatizo ya akilj sio bure! Narudia huwez fananisha pcb na pcm! Pcb ni ngumu mno! Prac za biology tu ni zaidi ya adv 1&2!
Mimi sijasema PCB ni nyepesi ila izo dharau za kusema prac ni sawa na pure ndo nakata af unaongea Ivo na Io math hujui ndo shida wewe kuelewa integration Tu ungetumia miezi Zaid ya 6 kuna watu wamesema pcm na integration walikubari hawajibu kwenye paper wewe unakuja na hasira zako apa eti kama prac
 
Acha story mtu aliyepata PCB two yeyote yupo vzr kuliko aliyepata PCM one ya 8 au 9!
Chemistry tu watu wa pcm hawawez bios itakuwaje? Halafu bios ni ngumu mara 3 ya chem
 
Kuna jamaa angu alikutwa amelala kwenye kipindi cha chem 2 ....
Ilikua organic two ile mzigo wa Amine.

Teacher Sanga akaja kumwamsha alafu akamwambia hivi. ""Kijana utapa A ya chemistry """

Alafu hyo A haitamkwi kizngu ila ni kwa kiswahili ( a )
 
Acha story mtu aliyepata PCB two yeyote yupo vzr kuliko aliyepata PCM one ya 8 au 9!
Chemistry tu watu wa pcm hawawez bios itakuwaje? Halafu bios ni ngumu mara 3 ya chem
😂😂😂😂Mkuu sio hawawezi chemistry hawapendi jichosha chemistry inaugumu gani? Physical,general na inorganic zote znaenda fresh organic watu huionea uvivu Tu ata sio ngumu sema ndo vile mentality kill majority wanaiacha .uyo two unakuta ana bios c,Chemia d ,phy E 😂😂chagua shule angalia weny two bios AF one pcm kukutoa phy b math b na chem ç kawaida Sana sasa uyo wa pcb huon bios ndo imembeba apo 😂😂 au mna physics na chemia yenu PCB angalia matokeo mengi mengi ndo uje ubishe kat ya phy na bios nini wanafaulu
 
Back
Top Bottom