MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hakunaga Pure Mathematics ni ADVANCED MATHEMATICSNdio nimekwambia mchawi calculator O level hugongi A ya Maths ukagonge A ya Maths advance tena sio BAM ni Pure, sijui unanielewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga Pure Mathematics ni ADVANCED MATHEMATICSNdio nimekwambia mchawi calculator O level hugongi A ya Maths ukagonge A ya Maths advance tena sio BAM ni Pure, sijui unanielewa?
Unajua mtu wa PCB ana mitihani mingapi,Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.
Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.
Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
KO unataka kusema prac ya bios inakuongezea ugumu WA comb😂😂😂😂 ila nyie wazeee Io bam apo analalamika ngumu af unakuja unasema pure rahisi 😂 ok tuje lengo la bam n kukupatia wewe wepesi kwenye physics lakini bado unaona ni ngumuMtu wa PCB anakanyaga mitihani 11.
1.Physics¹
2.physics²
3.physics³
4.chemistry¹
5.chemistry²
6.chemistry³
7.biology¹
8.biology²
9.biology³
10.bam
11.gs
Acheni masihara wazee
Ugumu WA bios NI kwamba mkifka advance Kila mtu anaamin muhimbili ndo destination yake then baadae ya apo ndo mnajichiuja PCB one ya7 we tayari umefeli muhimbili sahau ukipata two ndo kabisa huelew usome nini pcm d mbili Tu Una course kibao za kusoma ndo kama Yule comedian Leonard anakwambia Kala F math d ya chem na phy lakini kaendachuo cha maji engineering apo ndo utofauti ukisema bios haiishi ntaji kitabu cha pure kilicho cover kila kituBiology ya advance ni kama bahari yaan haina mwisho vitu ni vingi mno na paper huwa ni ngumu!
Pure maths maswali ni yaleyale wanabadilisha namba tu!
Ukikariri mayombia 1&2 B au A hiyo hapo
Huna akili nguvu za kusoma practicals za biology pekee mtu akiziweka kwenye pure anapata C au B hiyo! Hiyo classification tu ni mayombia 3.KO unataka kusema prac ya bios inakuongezea ugumu WA comb😂😂😂😂 ila nyie wazeee Io bam apo analalamika ngumu af unakuja unasema pure rahisi 😂 ok tuje lengo la bam n kukupatia wewe wepesi kwenye physics lakini bado unaona ni ngumu
Nini kingine apo mkuu Zaidi ya kutoa,kujumlsha kuzidsha na kusoma anglesUmeacha ndio endelea kukumbuka ni ipi
🤣 🤣🤣🤣 Ila KO wangesema bios waondoe prac ungekubali kwasabu ni mzigo? Bam inamateso gani mkuu hujui hesabu Tu Io bam nmesoma as additional mathematics olevel bila calculator na nmefaulu math sio ya kila mtu na ukijua umejua kwel hip ndo Tofauti coz wanaojua math wamerelax ndo maana mnaona ni rahisi akat bam inawatoa jashoKichaa pekee atafanasisha Biology¹(3hrs)+biology²(3hrs)+biology³(3hrs+20mins)+Bam(3hrs) masaa 12 na dakika 20 versus masaa 6 (adv math¹&²)
Ukiona prac ulitumia nguvu Ivo wewe NI mjinga 😂 😂 nimefika advance Tu week ya Kwanza PCB wamekalili michoro yote ya prac nguvu gani unatumia apo food test hatujasoma olevel? Classification si ni topic moja?Huna akili nguvu za kusoma practicals za biology pekee mtu akiziweka kwenye pure anapata C au B hiyo! Hiyo classification tu ni mayombia 3.
Nani kasema bam ngumu? Hapo nimeongelea wingi wa masomo! Huwez kufananisha PCB na PCM hata kidogo
Wewe unamatatizo ya akil sio bure! Narudia huwez fananisha pcb na pcm! Pcb ni ngumu mno! Prac za biology tu ni zaidi ya adv 1&2!🤣 🤣🤣🤣 Ila KO wangesema bios waondoe prac ungekubali kwasabu ni mzigo? Bam inamateso gani mkuu hujui hesabu Tu Io bam nmesoma as additional mathematics olevel bila calculator na nmefaulu math sio ya kila mtu na ukijua umejua kwel hip ndo Tofauti coz wanaojua math wamerelax ndo maana mnaona ni rahisi akat bam inawatoa jasho
Narudia huna akili rudi shule! Kuandika tu shida!Ukiona prac ulitumia nguvu Ivo wewe NI mjinga 😂 😂 nimefika advance Tu week ya Kwanza PCB wamekalili michoro yote ya prac nguvu gani unatumia apo food test hatujasoma olevel? Classification si ni topic moja?
Mimi sijasema PCB ni nyepesi ila izo dharau za kusema prac ni sawa na pure ndo nakata af unaongea Ivo na Io math hujui ndo shida wewe kuelewa integration Tu ungetumia miezi Zaid ya 6 kuna watu wamesema pcm na integration walikubari hawajibu kwenye paper wewe unakuja na hasira zako apa eti kama pracWewe unamatatizo ya akilj sio bure! Narudia huwez fananisha pcb na pcm! Pcb ni ngumu mno! Prac za biology tu ni zaidi ya adv 1&2!
Ila Vitu vinaeleweka mwenzio alikuja na hoja za math NI calculator wewe umekuja na hoja za wingi WA masomo na matusi ila havipindishi ukwel mkuuNarudia huna akili rudi shule! Kuandika tu shida!
Mimi sina akili ila mwenye akili prac ya maswali ma3 ni ngumu kulko topic 18 sawa sawa mkuu Una akiliWewe unamatatizo ya akil sio bure! Narudia huwez fananisha pcb na pcm! Pcb ni ngumu mno! Prac za biology tu ni zaidi ya adv 1&2!
Acha story mtu aliyepata PCB two yeyote yupo vzr kuliko aliyepata PCM one ya 8 au 9!M
Mimi sijasema PCB ni nyepesi ila izo dharau za kusema prac ni sawa na pure ndo nakata af unaongea Ivo na Io math hujui ndo shida wewe kuelewa integration Tu ungetumia miezi Zaid ya 6 kuna watu wamesema pcm na integration walikubari hawajibu kwenye paper wewe unakuja na hasira zako apa eti kama prac
😂😂😂😂Mkuu sio hawawezi chemistry hawapendi jichosha chemistry inaugumu gani? Physical,general na inorganic zote znaenda fresh organic watu huionea uvivu Tu ata sio ngumu sema ndo vile mentality kill majority wanaiacha .uyo two unakuta ana bios c,Chemia d ,phy E 😂😂chagua shule angalia weny two bios AF one pcm kukutoa phy b math b na chem ç kawaida Sana sasa uyo wa pcb huon bios ndo imembeba apo 😂😂 au mna physics na chemia yenu PCB angalia matokeo mengi mengi ndo uje ubishe kat ya phy na bios nini wanafauluAcha story mtu aliyepata PCB two yeyote yupo vzr kuliko aliyepata PCM one ya 8 au 9!
Chemistry tu watu wa pcm hawawez bios itakuwaje? Halafu bios ni ngumu mara 3 ya chem
😂😂😂😂 Sawa sawa ndo maana BAm ulipata AHalafu pure 2 ni bam iliyochangamka😑