PCB siyo tahasusi ya mchezo

PCB siyo tahasusi ya mchezo

Ni mwendo wa kumeza mikate , huku Chandy , huku Nelkon ,huku Tlanta huku Tom Duncan huku Roger Muncaster (Kwa wazee wa Matango) aisee nyieee 🤣🤣🤣
Dah..nilikua namiliki mikate volume I & II, BS, Roger, reviews za masomo yote..PCB🙌 ni vile tu kwa kijana aliemaliza form four ni ngumu kumshauri aya mambo kwa mapana yake na uhalisia wa huko anakokuendea na hatma yake kwa ujumla huko chuoni (courses) & ajira..ni combination sumbufu sana na inaua ndoto za vijana ambao wangeweza kufanya vizur sana kwa masomo mengine..
Wasoma PCB wanaunga unga sana Physics na ndo inayofelisha majority..huwez kuta mwanafunz ana-master vizuri Physics akasoma PCB..utamkuta PCM & PGM.
 
Basi tufanye umepata na tufanye hujatumia calculator, umefurahi?
Niko sahihi kwanini nisifurahi ila siku ukiweza kupata ilo jibu kwa caluu naomba Mzee afu ulintajia combi nying umesoma apo nlivokupa Tu idea ya kusolve ungejua nimepata hii advance ndo ile ukipewa swali unasema limeisha kabla hujasolve coz unakua na idea tayari
 
Dah..nilikua namiliki mikate volume I & II, BS, Roger, reviews za masomo yote..PCB🙌 ni vile tu kwa kijana aliemaliza form four ni ngumu kumshauri aya mambo kwa mapana yake na uhalisia wa huko anakokuendea na hatma yake kwa ujumla huko chuoni (courses) & ajira..ni combination sumbufu sana na inaua ndoto za vijana ambao wangeweza kufanya vizur sana kwa masomo mengine..
Wasoma PCB wanaunga unga sana Physics na ndo inayofelisha majority..huwez kuta mwanafunz ana-master vizuri Physics akasoma PCB..utamkuta PCM & PGM.
Me CBG tu ilinikimbiza adi nikakondaaaa
 
Niko sahihi kwanini nisifurahi ila siku ukiweza kupata ilo jibu kwa caluu naomba Mzee afu ulintajia combi nying umesoma apo nlivokupa Tu idea ya kusolve ungejua nimepata hii advance ndo ile ukipewa swali unasema limeisha kabla hujasolve coz unakua na idea tayari
Basi Sawa
 
🤣🤣🤣🤣ninyi watoto wa njos walaini sana ,ilibidi mletwe Tosamaganga kiumeni pale mpate akili ,pale hata mwalimu humuoni darasani qmamae ,utajijua mwenyewe ,na akija ni kuongea useng£ useng£ halafu anapotea
Ila shule nyingine za serikali nyingine mamaee sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Mlichotizidi tosa ni kuwa nyie mpo mixer na watoto wale wa o level...

Sasa ishu kwetu ni boys tuu alafu show ya bard na viboko vile mmaeee so poa an...

Sema nyie mbwa mnakichafuaga kinoma
 
Back
Top Bottom