PCB siyo tahasusi ya mchezo

PCB siyo tahasusi ya mchezo

Wacha kabisa..mwenye 3 kafaulu vizuri tu yan😅 af mleta mada anamshangaa mwenye 2 ya 11🤔
Pale njoss ilikua ukipata zero mnaitwa alafu mnaenda kupewa ushauri na bibi mmoja hivi..

Ana maneno ya kinyaa sana eg
""Mnasoma sana, kuna wengine hapa hata kulala hawalali ila nawaona wapo hapa. Muwe mnakoga ngozi ipumue MATERIAL yaingie vizuri,
Ukiamka kata kucha, piga mswaki oga njo darasani utajikuta unaelewa.
Mwisho kusoma ni saa 4 nenda kalale upumzishe mwili ******"""

Tulikua tuna mind kinoma an yaan anaongea kwa kukejeli sna yule bibi
 
🤣🤣 itakua mlikua hamuogi nyie mnakomaa tu na kitabu..na ile barid sasa kama ifunda tu tulikua tunaoga kwa mbinde..uko njos si ilikua balaa
 
Aisee advance Physics ni mziki.
Physics ndio usiseme hasa theory .
Kiufupi physics watu wengi advanced level enzi zetu wengi walikuwa wanalamba namba za viatu , miaka hiyo ya 2010-2013 aisee kupataC ya Physics advance wewe ni kidume.

Kiufupi watu tuliopitia advanced level ,tena hizi combinations za pcm na PCB ,tupewe maua yetu kabisa .
Si mchezo
Katika somo niliwahi kuonea ni Physics na hesabu akisindikizwa na chemistry. Hawa nilikua nawachakata kama wanangu....

Miaka imepita now almost 18yrs hata calculus nimesahau....
 
Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.

Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.

Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.

Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.

Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Commitment tu mkuu
 
Katika somo niliwahi kuonea ni Physics na hesabu akisindikizwa na chemistry. Hawa nilikua nawachakata kama wanangu....

Miaka imepita now almost 18yrs hata calculus nimesahau....
Pure mathematics inasahulika kwa upesi sana kuliko basic mathematics😀
Mm nakumbuka sana basic mathematics mpaka primary,advance nimesahu vitu vingi sana😀
Kuna topic ata sasa unihamshe usiku wa manane nazichakata vzr tuu za olevel wakati ni zaidi ya 18 o level 😀 na 16 years ago advance nimetoka ila
 
Acheni bangi aisee! PCB ni ngumu mno aisee ni ngumu mno narudia! Pure maths haiwez ingia kwa biology hata kidogo.
Daaaaaaaah nilitaka nipite bila kutia neno lkn hii comment yako imefanya nitamani kushare kitu maana dharau zimeanza.

Tanzania pmj na duniani kote Mathematics ndiyo somo gumu kuliko somo lolote lile (Nasemea mtazamo kiujumla si mtazamo wangu binafsi) haijalishi ni level gani Advance au Ordinary Level.

Hapa tutaenda na takwimu ukifatilia Matokeo ya Ordinary Level F za Mathematics ni nyingi kuliko somo lolote na hata Ufaulu wake Kwa wastani unachezea 17% kushuka chini hapa ni Ukilinganisha na Biology utajua lip ni somo gumu.

Ukienda Advance Level Bado Advance Mathematics ni ngumu kuliko somo lolote lile ukiangalia Ufaulu wake kiujumla bado wastani wake ni mule mule 17% kushuka chini tofauti na Biology na somo jingine.

Swali la kizushi kwako km Unasema Biology ni ngumu kwanini Level zote Mathematics inaoneka kuwa na F nyingi kuliko Biology Jibu Baki nalo tu

Utofauti unakuja wa BIOLOGY na ADVANCE MATHEMATICS upande wa Advance Level unaletwa na Wasomaji wenyewe na Namna uchaguzi wa Combination unavyopatikana.
a) Wengi wao(sio wote) wanaosoma BIOLOGY advance ni wale waliotokana na kupata Ufaulu wa Biology Kwa Mgongo wa Practical (O level Practical zote Uwaga zina Marks 50) na Kwa bahati nzuri Mostly Practical Questions zinakuwa ni rahisi kujulikana kutokana na uandaaji wa Specimens zake. Ss unakuta mtu ana C & B ambavyo ni 44 mpk 74 ambapo 80% ya Ufaulu huo umechangiwa na Practical. Kwa hiyo 35 mpk 40 ya Marks zake za Biology ni Practical Factor Kwa hesabu za Shule ya Msingi (44 - 35, 74 - 40) utapata 9 mpk 34 imetokana na Theory.

Kwa Akil ya kawaida tu unategemea mtu huyu aliepata 9 akapate A ya BIOLOGY Advance ambapo kuna Theory Papers 2 ni kitu ambacho hakuna.

b) Wengi ya watu wanaosoma Advance Mathematics A Level wanajua na kupenda Hesabu na ni miongoni mwa watu wachache waliopatikana kwenye 17% ya Ufaulu wa Somo ilo. Hivyo bhasi C & B za Mathematics O level Uwaga zinakuwa zenyewe Bila kuwa na mchango wa factor yoyote km Ilivyokuwa Kwa Biology ndy maana inaonekana ni Rahisi kupata A ya Mathematics Advance kuliko Biology Kwa sababu wanaosoma Wengi wao wanaijua.
Mathematics ina wenyewe na Wenyewe ndy wanaosoma Advance Mathematics. Ni rahisi kusema Mpira ni rahisi kucheza Kwa kumtazama Neymar Jr, Mesut Ozil , Christian Ronaldo & Messi wakicheza huo Mpira lkn sio Kwa kumtazama Jobe, au Mkwala. Ni Sawa na kusema Maths ni nyepes Kwa kuwaona wachache waliopenda na kufaulu Hesabu wakisoma na kusahau O level kuna 83%+ waliopata F ya somo ilo.

USHAURI:
Uwaga sipendi Mwanafunzi achague Combination baada ya matokeo kutoka Combs Uwaga inapangwa ukiwa form 1 au darasa la 7 then Mwanafunzi uanze kusoma Kwa kufata Chagua lako. Na Mtu aliesoma Sayansi O level akiwa na C flat kwenye Combs yake km hawezi kujitoa Uwaga simshauri kusoma Comb hzo Advance. Kingine Combination za Sayansa A Level Uwaga hayasomwi Kwa Timetable ukifanya hivyo ni rahisi kufeli.
 
Umemalza kila kitu mkuu ata ukiangalia PCB wengi hufeli bam ila watasema ni kwasababu hawaizingatii sio muhimu ila uyo mtu Rudi olevel unakuta ana c au D ya math lakini nenda pcm unakuta 90% wanafunz WA pcm ana B au A ya biology
 
Wanajitoa ufahamu tu
 
Kaka sipingi hoja yako umeongea kwa mashiko na weledi mkubwa sana mathematics sio ngumu mathematics ni kujitoa kuisoma kila siku hakukisha una solve sana nilikuwa form one miaka kadhaa nyuma.
Nilianza kuichukia hesabu nilikuwa napata 9 au 13 nilikuwa nishajikatia tamaa baadae masom mengine sijui phys chemistry naibutua kweli kwel rafiki zangu wote walikuwa wanajua namba mno.

Matokeo yakitoka wao wanapata 80 mimi 10ya hesabu kitu kiliniuma sana kwasabbu wao nikiwazid bioz au history ni makisi tano au kumi wakija kunipiga kweny hesabu ni makisi za kushiba hiki kitu kilinitesa sana niliumia sana ...

Nakumbuk siku nikamfata rafik angu nikamuuliza mbona kaka hesabu wew unafaulu sana naomba unisaidie nifaul na mimi akasem wew unaichukia hesabu ukitak ufaulu solve kil siku maswali matano au matatu ukikosea njoo nikisaidie...
Kaka nilianza kusoma hesabu kwa uchungu hapo nipo kidato cha pili matokeo ya kuingia kidato cha tatu nina 78 kipind icho ni B nikasem kumbe naweza mimi jamaa yangu kashituka

Kidato cha tatu nilikuwa nawafukuza kama mwizi kimya kimya mpk wanapagawa tukaingia kidato cha nne necta nikapat B sikwenda pcm niliomba pgm lakin wakaniwek pcb sikuweza kuhama kombi
Nikasoma pcb huwez amini Bam nilianguka vibaya nilifel maan nilikuwa siisomi tena niliachana nayo nilifaul lakin Bam na gs nilifel vibaya mno...
Note hesabu sio ngumu ni vile wanafunzi huwaga tunakata tamaa tunaamini ni ngumu wakati hatuifanyii kazi kwa kusolve kila siku
Namalizia bioz sio ngumu ila ina mambo mengi sana ya kuyajua kumeza na kuelewa ndo maana inakuwa na uzito kingine usahihishaji kumu convice jamaa akupe 10/10 ni ngumu utashangaa swali umepat lote kakupa 6 je nne zimenda wapi kachukua yeye ila hesabu ukipata swali lote atakupa 10/10 maan kil kitu ni mtiritiko ..
 
Sasa weapo sio mtu wa hesabu kifupi hiyo Njia ya kusoma Kwa kusolve ndy niliikataaga maana unakuwa km Una kalili sio kuelewa Binafsi hesabu nilikuwa nasoma km gazette. (Unless mtu alete Swali ni msolvie)

Hata wakati nipo O Level Mwalimu alikataa kabisa nisingie kwenye kipindi chake toka January kutokana usomaji wng kwenye somo lake (Nilikuwa siandiki notes kwenye kipindi nasikiliza tu na kujisomea nasoma km hadithi) na hakuwai kusaisha Mtihani wangu Alikuwaga anasikia tu Kwa wanafunzi wake kuwa Yule kijana anajua hesabu. Mungu sio Athumani Necta inatoka Shule nzima kwenye Mathematics kuna B 2 na C 8 (Nilikuwa kwenye ili Kundi ) tu 😂😂 na Advance nikaenda kusoma Pure Mathematics.

Japo Njia ya Kukalili (Kusolve mara Kwa mara sijui Reviews mavitu gani sio mby Kwa mtu anaehitaji Ufaulu wa muda mfupi ambapo akimaliza Shule tu hawezi hata kumfundisha mtu)
 
Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.

Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.

Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.

Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.

Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Ukiona ivyo hao vijana ni kua wanafail sababu ya mambo kadha wa kadha.

Sijawai ona kombi ngumu kwangu period!

Kuna jamaa alikuaga na div 1 ya 8 o-level akaenda PCB aka differentiate constant. Alipataga only D ya divinity pekee.

Physics , chemistry, biology (PCB) Physics, chemistry, mathematics (PCM)

Labda sisi wengine TUMEUMBWA tofauti ki tofauti.

NB.
ELIMU NI KILE KINACHO BAKIA KICHWANI BAADA YA KUMALIZA KUJIFUNZA 🎓.
 
Sasa weapo sio mtu wa hesabu kifupi hiyo Njia ya kusoma Kwa kusolve ndy niliikataaga maana unakuwa km Una kalili sio kuelewa Binafsi hesabu nilikuwa nasoma km gazette. (Unless mtu alete Swali ni msolvie)

Hata wakati nipo O Level Mwalimu alikataa kabisa nisingie kwenye kipindi chake toka January kutokana usomaji wng kwenye somo lake (Nilikuwa siandiki notes kwenye kipindi nasikiliza tu na kujisomea nasoma km hadithi) na hakuwai kusaisha Mtihani wangu Alikuwaga anasikia tu Kwa wanafunzi wake kuwa Yule kijana anajua hesabu. Mungu sio Athumani Necta inatoka Shule nzima kwenye Mathematics kuna B 2 na C 8 (Nilikuwa kwenye ili Kundi ) tu 😂😂 na Advance nikaenda kusoma Pure Mathematics.

Japo Njia ya Kukalili (Kusolve mara Kwa mara sijui Reviews mavitu gani sio mby Kwa mtu anaehitaji Ufaulu wa muda mfupi ambapo akimaliza Shule tu hawezi hata kumfundisha mtu)
Broo sehem zote hakuna ambae ana solve mathematic anakalili acha kudangany umma wana mathe wote shule ziwe olevo au advance hakuna anaesoma kama gazeti siku zote mathe unavyo solve ndo unakuwa unafikilia zaid tumesoma na vipanga na walipata one za nne na tano walikuwa wana solve et usimame usem math inasomwa kama gazeti broo hauko serius tena unasem anae solve anakalili
 
Back
Top Bottom