PCCB mko wapi nilitegemea kuona mnalifanyia kazi maana hapa Tanzania kuna utawala wa sheria ( rule of law)

Nahisi PCCB Wana sehemu sahihi ya kuanzia
 
Hao wapo kwenye mnyororo wa Mbuzi wenye Kamba ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…