Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Hakika umenena vyema kabisa Mr Pixel3a PCM/PCB 1 ni sawa kabisa na HKL/HGL 50 yaani uwiano wa 1:50. Kwa mfano wakati niko session ya Applied Mathematics nakumbuka lecture husika (mwanamama) alitushauri (na sio vitisho) ya kwamba kawaambieni wadogo zenu waliokimbia hesabu na science na waikimbie hivyo hivyo katika course selection za vyuo, wasije kutusumbua.