Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

PCM na PCB ni combinations ambazo mwanangu sitopenda asome in case nitakuwa na uchumi wa kati, labda niwe uchumi wa juu sana atasoma tu nitamuwezesha kuishi.

Chuo unatumia miaka minne kusoma udaktari, unatumia mwaka mmoja kufanya kazi bure sijui wanaita nini ile term nimesahau. Unatoka na deni la kama 20M kwenda kulipwa about 1.5M per month. Milioni moja na nusu inatafutwa kwa nguvu nyingi sana, haistahili ipatikane kwa jasho lote hilo.

Ukiona mtoto wa tajiri anasoma hivyo vitu ujue ni hobby tu ndio maana kuna Wahindi ni MDs ila wanauza maduka, alitaka asome kama kutimiza ndoto sio kutafuta maisha.
Sure mkuu!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
Hujui usemalo. Waulize wanaokutawala na kukuingiza kwenye mikataba mibovu walisoma comb gani. Ujinga mtupu. Heri kunyamaza kuliko kubwabwaja usiololijua wala lisilojulikana.
 
Jipe moyo Kuna Dp world , petroleum and gas kusini huko ,plus hospital za kutosha Tena za Rufaa😅😅
Vitengo vya maana wanawekana wenyewe kutoka nje zile nafas za pesa ndogo ndo wanawapa wabongo au unakuta kwenye hizo nafas za juu wanaweka wabongo wachache wengine wanakua wanapiga kazi kama deiwaka, maisha ya kitaa ya watu wa hizo combi tunayaona wengine hadi wanakimbilia kazi zisizokua zako, miaka mi5 kitaa utapataje experience ya kufanya kazi za nafasi za juu kwenye hizo kampuni???
 
Hakuna SoMo nilikuwa nalionea advance kama Physics. Kusolve maswali ya physics inahitaji uwe n knowledge zinazobebana. Mfano Kuna maswali ya elasticity lakini yanaingiliana na equilibrium kama ya form two, circular motion na heat.
🤣🤣🤣
 
Me nilikimbia mtihani wa pre Necta form six.., nlipiga hesabu kuwa nikifeli pre Necta mawazo yatanijaa then ntazingua Necta.., kwahyo nikakimbia pepa, academic teacher alinitafuta bila mafanikio hadi nikafanikiwa kupga pepa la mwisho.. PCB..,students don't try this...
 
Sure kisaikolojia wanafunz weng wa serikali hawapo vizur na wengi hawajui mbinu za kugaulu.. mtu anasoma kama chizi full kukesha matokeo yakija sasa[emoji28]
Msuli tembo matokeo sisimizi, tulikua tunawaita hivyo [emoji1]
 
Elimu yetu imepata mushkeli kidogo! Inahitaji Reformation

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Unaambiwa kula vizuri fanya mazoezi madogo wanaosomea udaktari wanakopiana assignments, wanabet na wanashinda kidimbwi[emoji1][emoji1] ukitaka kuamini nenda hospital kutana na daktari kijana utatamani ukimbie.
Juzi nimeenda namuambia nahisi kuna kitu kimekwama kooni hata sijamaliza maelezo karopoka hiyo ni pharyngitis anataka aniandikie dawa wakati hata sio hiyo pharyngitis ni globus sensation.
 
Nawahurumia vijana waliopelekwa shule mpyaa kabisa(wanafungua ukurasa form five) Kwan wakifik huko wanakosa direction na kujiona vipangaa..
Hii inachanganya kabisa...

Mwanangu kapangwa shule moja huko kwa wameru inaitwa pamoja ngabobo ni mpya hlf PCM...

Naona bora aende DIT tu
 
Back
Top Bottom