Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Organic sijawahi kuipenda, inorganic niliilewa balaa, paper 2 zote nilikua napiga maswali yote ya inorganic sijawahi liache, afu Kule section a nagusa Moja namalizia na Moja la organic
Organic ndo ilikuwa kitonga sasa,nguvu kubwa sana ilitumika kupata huo utelezi
 
Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
Huu ni ujinga na ushamba. Mimi ni mhandisi ila naheshimu kila mchepuo. Kila mchepuo una umuhimu wake! Heshimu michepuo ya watu, heshimu fani za watu.
 
Hakuna kitu kigumu wala kirahisi, inategemea na akili ya mtu tu.

Binafsi nimesoma PCB,mziki wake ni wa kuotea mbali endapo utakuwa unaisoma kwa bahati mbaya (maybe kulingana na uwezo wako haukutakiwa kusoma but ufaulu wako ambao umeupata kwa njia unayoijua wewe ukawa umefaulu vizuri na kupangiwa PCB).

Cha kuzingatia ni kukomaa mwanzo mwisho,na ikumbukwe sahivi kozi za afya competition ni kubwa sana.

Mimi na 1.7 form six nilikosa udaktari kwenye application za round ya kwanza na pili but thanks God round ya tatu nikachaguliwa kozi hiyo (MD) ambayo ndio mara nyingi inakuwaga primary dream kwa wana~PCB
 
Mwaka Gani? Maana miaka ya ivi karibuni unakuta darasa zima Wana 1.3
 
Nina mwanangu anapenda sana uinjinia au udokta ufaulu wake kapata 2 namasomo ya sayansi kapata c yote isipokuwa bioz kapata A vp nimpambanie ndoto yake anaweza kutoboa?
Miaka hii ambayo asilimia 89 ya watahiniwa wanapata div 1 kupata div 2 ni ukilaza tu, kipindi Cha jk asimilia 89 walikula Division 4 na zero form 4, kipindi Hiko hata div III anaheshimika
 
Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
Mm mpaka leo hua sielewi wale jamaa wa single Digit niliosoma nao uboyzini miaka hiyo ilikuaje wakapata three na four za PCB na PCM,
Ila kwa sasa hv kupata hata Div. 2 ya PCM au PCB ni uzembe, mambo yamebadilika
 
Miaka hii ambayo asilimia 89 ya watahiniwa wanapata div 1 kupata div 2 ni ukilaza tu, kipindi Cha jk asimilia 89 walikula Division 4 na zero form 4, kipindi Hiko hata div III anaheshimika
vipi lakini anaweza kutoboa?
 
Back
Top Bottom