Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

PCM na PCB ni combinations ambazo mwanangu sitopenda asome in case nitakuwa na uchumi wa kati, labda niwe uchumi wa juu sana atasoma tu nitamuwezesha kuishi.

Chuo unatumia miaka minne kusoma udaktari, unatumia mwaka mmoja kufanya kazi bure sijui wanaita nini ile term nimesahau. Unatoka na deni la kama 20M kwenda kulipwa about 1.5M per month. Milioni moja na nusu inatafutwa kwa nguvu nyingi sana, haistahili ipatikane kwa jasho lote hilo.

Ukiona mtoto wa tajiri anasoma hivyo vitu ujue ni hobby tu ndio maana kuna Wahindi ni MDs ila wanauza maduka, alitaka asome kama kutimiza ndoto sio kutafuta maisha.
 
Udaktari ni miaka 5 na internship mwaka mmoja sheikh
 
Advance nilipambana kivyangu, sikusoma Tuition sijui za kina mgote, ngaiza etc
Nilianza kuwa serious na shule nilipoona form six wanafanya mtihani.

Still Mungu alinisaidia nikachomoka na Division Two ya PCB.
Nikaiokosa MD, lakini bado maisha yanasonga.
Pcb aisee nilikua nawaonea huruma maana bam nayo ilikua mziki kimtindo
 
PCM na PCB ni combinations ambazo mwanangu sitopenda asome in case nitakuwa na uchumi wa kati, labda niwe uchumi wa juu sana atasoma tu nitamuwezesha kuishi.

Chuo unatumia miaka minne kusoma udaktari, unatumia mwaka mmoja kufanya kazi bure sijui wanaita nini ile term nimesahau. Unatoka na deni la kama 20M kwenda kulipwa about 1.5M per month. Milioni moja na nusu inatafutwa kwa nguvu nyingi sana, haistahili ipatikane kwa jasho lote hilo.

Ukiona mtoto wa tajiri anasoma hivyo vitu ujue ni hobby tu ndio maana kuna Wahindi ni MDs ila wanauza maduka, alitaka asome kama kutimiza ndoto sio kutafuta maisha.
Hahahaha, unasema kweli.

Niko hapa ninadaiwa na loan board Tsh 24 Millions .
 
Back
Top Bottom