Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Kibaya tukukutana kazin mshahara mmojaMliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
Mwalimu wa physics na Mwalimu wa English almost the sameKibaya tukukutana kazin mshahara mmoja
Bila kupepesa machoHakika umenena vyema kabisa Mr Pixel3a PCM/PCB 1 ni sawa kabisa na HKL/HGL 50 yaani uwiano wa 1:50. Kwa mfano wakati niko session ya Applied Mathematics nakumbuka lecture husika (mwanamama) alitushauri (na sio vitisho) ya kwamba kawaambieni wadogo zenu waliokimbia hesabu na science na waikimbie hivyo hivyo katika course selection za vyuo, wasije kutusumbua.