Pedeshee Erick Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Pedeshee Erick Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

1. Tchatcho Mbala
2. Kiki Toure
3. Dikembe Mutombo
4. Didi Kunuani
5. Kongolu Mobutu (SADAM HUSSEIN)
6. Jose Kongolo
7. Kayembe ChezNtemba
8. Shebedee Tabu Fatu
9. Erick Mandala
10. Adam Bombole
11. Jonii Mayala
12. Zakarida Babasu
13. Freddy Nelson
Huyu mwamba Eric Mandala ameimbwa sana kwenye ngoma za Congo pamoja na hao wajuba wengine ndo mapedeshee wa Congo wa enzi hizo hadi sasa bado wanasumbua
Bila kumsahau Jagii Sharufa
 
Hao ni patrol wamevuka upedeshee
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa Rhumba hasa kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, bila shaka utakuwa umewahi kumsikia sana ‘pedeshee’ Eric Mandala.

Lakini je, unamjua huyo Mandala ni nani na ana ushawishi kiasi gani mpaka aimbwe na mastaa wa rhumba na dansi ndani na nje ya DRC?

Pedeshee huyo ambaye jina lake kamili ni Eric Mandala Kinzenga, ni mfanyabiashara mkubwa mwenye asili ya DRC ambaye anamiliki mkwanja wa ‘kufa mtu’.

Sasa habari mpya ni kwamba mwamba amekamatwa akiwa na dawa za kulevya, Cocaine kilo 200! Kama hesabu zinakupiga chenga, kilo 200 ni sawa na uzito wa mifuko minne ya cement.

Ilikuwaje? Unaambiwa jamaa alikuwa anasafirisha mzigo huo kutoka Ecuador ambako mzigo ulipakiwa kwenye meli mpaka Bandari ya Algeciras nchini Hispania akiwa na lengo la kuuvusha mpaka Morocco lakini kumbe ‘wazee’ wakawa wameshatonywa.

Mamlaka ya kuzuia dawa za kulevya nchini Hispania (DEA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kuzuia Uhalifu Hispania (Udyco) wakamuwekea mtego uliofanikisha kumnasa akiwa ameubeba mzigo huo kwenye gari.

Pamoja naye, amekamatwa mwanamke mmoja wa Colombia waliyekuwa pamoja na walipopekuliwa, walikutwa na Cocaine kilo 200 pamoja na fedha taslimu dola 50,000 za Marekani ambazo ni sawa na shilingi milioni 127 za Kibongo.

Chanzo: Global Publishers
Ma slay wengi ndio wanawependa jamaa wa hivyo
 
1. Tchatcho Mbala
2. Kiki Toure
3. Dikembe Mutombo
4. Didi Kunuani
5. Kongolu Mobutu (SADAM HUSSEIN)
6. Jose Kongolo
7. Kayembe ChezNtemba
8. Shebedee Tabu Fatu
9. Erick Mandala
10. Adam Bombole
11. Jonii Mayala
12. Zakarida Babasu
13. Freddy Nelson
Huyu mwamba Eric Mandala ameimbwa sana kwenye ngoma za Congo pamoja na hao wajuba wengine ndo mapedeshee wa Congo wa enzi hizo hadi sasa bado wanasumbua
Fred Nelson ameimbwa na Extra Musica
 
Attachments

  • Screenshot_20250126-191227.png
    Screenshot_20250126-191227.png
    204.9 KB · Views: 5
1. Tchatcho Mbala
2. Kiki Toure
3. Dikembe Mutombo
4. Didi Kunuani
5. Kongolu Mobutu (SADAM HUSSEIN)
6. Jose Kongolo
7. Kayembe ChezNtemba
8. Shebedee Tabu Fatu
9. Erick Mandala
10. Adam Bombole
11. Jonii Mayala
12. Zakarida Babasu
13. Freddy Nelson
Huyu mwamba Eric Mandala ameimbwa sana kwenye ngoma za Congo pamoja na hao wajuba wengine ndo mapedeshee wa Congo wa enzi hizo hadi sasa bado wanasumbua
Usimsahau Hemedi Bakayoko. Ingawa sasa ni marehemu. Alikua waziri mkuu wa Ivory Coast.
 
Back
Top Bottom