Pedeshee Erick Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Pedeshee Erick Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Sio wote ni matapeli wengine wanaimbwa tu kwa umaarufu na sifa zao kwenye jamii, mfano Mutombo Dikembe huyu ameimbwa sana, Mbuta Likasu kwenye ngoma yake ya Attention Obus amemwimba sana huyu mwamba ambae kwa sasa ni marehemu amefariki mwaka jana. Alikua mcongo aliecheza kikapu NBA Marekani.
 
Mfano mwingine ni Kayembe ChezNtemba huyu yeye ni mjasiriamali ambae amejikita zaidi kwenye biashara ya bar na night clubs. So huenda umaarufu na kuimbwa kwake itakua ni kutokana na wanamuziki wa Congo kupenda kwenda kwenye night clubs zake kuburidika ama kupiga shows then kiainq wanakua wanamrusha kwenye ngoma zao na wala sidhani kama anatoa pesa ili aimbwe. Mwingine ni Jose Kongolo, huyu ni mwanamama yuko huko France anamiliki mgahawa so wanamuziki wengi wa Congo wakienda France kwenye shows ama kurekodi lazima waende kwenye mgahawa wa huyu mwanamama mcongo mwenzako kumpa shavu then kiaina nao wanamrusha kwenye ngoma zao. Zaidi ya hapo kuna mwamba Suke Chile ametajwa sana na Defao, jamaa ni promota tu wala sio Pedeshee
 
Attachments

  • Screenshot_20250127-004804.png
    Screenshot_20250127-004804.png
    1.7 MB · Views: 4
Fally Ipupa amewahi kutunga bonge la ngoma kumsifia mke wa Erick.

View: https://youtu.be/g7QyOH3RglI?si=gwASYBYkIkrsy0Ub

Pesa inataftwa kwa njia za ajabu sana.

Miongoni mwa sifa alizotaja Falli kwa Marie Mandala,anasema Marie ni mfano wa malaika mlinda moyo,harufi yake ni tiba ya maradhi ya moyo,kivuli chake ni kinga ďhidi ya mvua kubwa kwa wapendanao,akitembea hadi sisimizi wanashangilia,jasho lake ni kama maji bariiidiii katikati ya jua kali sa saba jangwani sahara.
 
Hz sifa anazo ephen_ si marie mandala, marie wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom