Pedeshee Erick Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Pedeshee Erick Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

1. Tchatcho Mbala
2. Kiki Toure
3. Dikembe Mutombo
4. Didi Kunuani
5. Kongolu Mobutu (SADAM HUSSEIN)
6. Jose Kongolo
7. Kayembe ChezNtemba
8. Shebedee Tabu Fatu
9. Erick Mandala
10. Adam Bombole
11. Jonii Mayala
12. Zakarida Babasu
13. Freddy Nelson
Huyu mwamba Eric Mandala ameimbwa sana kwenye ngoma za Congo pamoja na hao wajuba wengine ndo mapedeshee wa Congo wa enzi hizo hadi sasa bado wanasumbua

Jose Kongolo FBI ni mwanamke na anamiliki hoteli kubwa Sana kule Ufaransa.
Wasanii wakienda kule Ufaransa yeye ndo huwapatia homage pamoja na mambo mengine
 
1. Tchatcho Mbala
2. Kiki Toure
3. Dikembe Mutombo
4. Didi Kunuani
5. Kongolu Mobutu (SADAM HUSSEIN)
6. Jose Kongolo
7. Kayembe ChezNtemba
8. Shebedee Tabu Fatu
9. Erick Mandala
10. Adam Bombole
11. Jonii Mayala
12. Zakarida Babasu
13. Freddy Nelson
Huyu mwamba Eric Mandala ameimbwa sana kwenye ngoma za Congo pamoja na hao wajuba wengine ndo mapedeshee wa Congo wa enzi hizo hadi sasa bado wanasumbua
Mkuu kula like yangu kwanza. safi. umenikumbusha mengi sana.
 
1. Tchatcho Mbala
2. Kiki Toure
3. Dikembe Mutombo
4. Didi Kunuani
5. Kongolu Mobutu (SADAM HUSSEIN)
6. Jose Kongolo
7. Kayembe ChezNtemba
8. Shebedee Tabu Fatu
9. Erick Mandala
10. Adam Bombole
11. Jonii Mayala
12. Zakarida Babasu
13. Freddy Nelson
Huyu mwamba Eric Mandala ameimbwa sana kwenye ngoma za Congo pamoja na hao wajuba wengine ndo mapedeshee wa Congo wa enzi hizo hadi sasa bado wanasumbua

Usimsahau Hemedi Bakayoko. Ingawa sasa ni marehemu. Alikua waziri mkuu wa Ivory Coast.
Nilitaka nimtaje huyu pamoja na Teodoro Nguema Obiang raisi wa Gabon
 
1. Tchatcho Mbala
2. Kiki Toure
3. Dikembe Mutombo
4. Didi Kunuani
5. Kongolu Mobutu (SADAM HUSSEIN)
6. Jose Kongolo
7. Kayembe ChezNtemba
8. Shebedee Tabu Fatu
9. Erick Mandala
10. Adam Bombole
11. Jonii Mayala
12. Zakarida Babasu
13. Freddy Nelson
Huyu mwamba Eric Mandala ameimbwa sana kwenye ngoma za Congo pamoja na hao wajuba wengine ndo mapedeshee wa Congo wa enzi hizo hadi sasa bado wanasumbua
Tshilamwina umemsahau
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa Rhumba hasa kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, bila shaka utakuwa umewahi kumsikia sana ‘pedeshee’ Eric Mandala.

Lakini je, unamjua huyo Mandala ni nani na ana ushawishi kiasi gani mpaka aimbwe na mastaa wa rhumba na dansi ndani na nje ya DRC?

Pedeshee huyo ambaye jina lake kamili ni Eric Mandala Kinzenga, ni mfanyabiashara mkubwa mwenye asili ya DRC ambaye anamiliki mkwanja wa ‘kufa mtu’.

Sasa habari mpya ni kwamba mwamba amekamatwa akiwa na dawa za kulevya, Cocaine kilo 200! Kama hesabu zinakupiga chenga, kilo 200 ni sawa na uzito wa mifuko minne ya cement.

Ilikuwaje? Unaambiwa jamaa alikuwa anasafirisha mzigo huo kutoka Ecuador ambako mzigo ulipakiwa kwenye meli mpaka Bandari ya Algeciras nchini Hispania akiwa na lengo la kuuvusha mpaka Morocco lakini kumbe ‘wazee’ wakawa wameshatonywa.

Mamlaka ya kuzuia dawa za kulevya nchini Hispania (DEA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kuzuia Uhalifu Hispania (Udyco) wakamuwekea mtego uliofanikisha kumnasa akiwa ameubeba mzigo huo kwenye gari.

Pamoja naye, amekamatwa mwanamke mmoja wa Colombia waliyekuwa pamoja na walipopekuliwa, walikutwa na Cocaine kilo 200 pamoja na fedha taslimu dola 50,000 za Marekani ambazo ni sawa na shilingi milioni 127 za Kibongo.

Chanzo: Global Publishers
Naskia mwamba yuko mtaani anakula maisha km kawaida.
 
Back
Top Bottom