Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 273
- 251
Ni Biashara ambazo mpaka wakuu wa nchi wapo,kupambana dhidi ya madawa ni kazi kubwa sana kwasababu wanapata baraka kutoka kwa wakuu wa nchiNdo kwaaaanza safari anaianza,...stay tuned....hizo biashara ni watu wazito❗
Anafuta ushahidi.Fally baada ya kusikia mwamba kadakwa na sembe akakimbilia insta kufuta picha zote alizopiga akiwa na Eric mandala
Weeee... Si yule Director mwenye vipodozi???Safi sanaaa! Siku atakayokamatwa Director J nitafurahi.
Kumbe ndiyo goma hili,kali sana nimelisikia sana n kwenye mabasi ya mkoaFally Ipupa amewahi kutunga bonge la ngoma kumsifia mke wa Erick.
View: https://youtu.be/g7QyOH3RglI?si=gwASYBYkIkrsy0Ub
Pesa inataftwa kwa njia za ajabu sana.
Ni Biashara ambazo mpaka wakuu wa nchi wapo,kupambana dhidi ya madawa ni kazi kubwa sana kwasababu wanapata baraka kutoka kwa wakuu wa nchi
Ww ni nduguye huyo drug baron!?Eric Mandala
Tresor Mandala
Marie Mandala
Miongoni mwa sifa alizotaja Falli kwa Marie Mandala,anasema Marie ni mfano wa malaika mlinda moyo,harufi yake ni tiba ya maradhi ya moyo,kivuli chake ni kinga ďhidi ya mvua kubwa kwa wapendanao,akitembea hadi sisimizi wanashangilia,jasho lake ni kama maji bariiidiii katikati ya jua kali sa saba jangwani sahara.Fally Ipupa amewahi kutunga bonge la ngoma kumsifia mke wa Erick.
View: https://youtu.be/g7QyOH3RglI?si=gwASYBYkIkrsy0Ub
Pesa inataftwa kwa njia za ajabu sana.
Hz sifa anazo ephen_ si marie mandala, marie wa kawaida sana.Miongoni mwa sifa alizotaja Falli kwa Marie Mandala,anasema Marie ni mfano wa malaika mlinda moyo,harufi yake ni tiba ya maradhi ya moyo,kivuli chake ni kinga ďhidi ya mvua kubwa kwa wapendanao,akitembea hadi sisimizi wanashangilia,jasho lake ni kama maji bariiidiii katikati ya jua kali sa saba jangwani sahara.
Angekamatiwa Morocco ndio ingekuwa analia, ila spain washikaji wengi.....Kwa Spain ninayoijua mimi hiyo kesi ni hotcake tu. Sana sana unakula mvua 4 ukitoka maisha yanaendelea.
Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng'ombe yuko wapi sikuhizi simsikii au pesa iliisha
Ndama Yuko , alikua mgonjwa kipindi Fulani alilazwa DubaiPedeshee Ndama Mutoto ya Ng'ombe yuko wapi sikuhizi simsikii au pesa iliisha
Hahahaha, alifanyiwa upasuaji wa Figo nadhani , na ndio mwenye Tabora UnitedAlikutana na kitu kizito...
Inashangaza kidogo inakuwaje don kama yeye anaingia front kwenye mishe yenye risk kiasi hicho? Kwa nini asingewatuma mapunda?Pamoja na kuwa tajiri kiasi hicho alshindwa nini kupata hisia za machale
Dah amemnawa mapema hivyo?Fally baada ya kusikia mwamba kadakwa na sembe akakimbilia insta kufuta picha zote alizopiga akiwa na Eric mandala
exactly mkuu,...ndio maana nasema huo ni mwanzo, kwani soon tutasikia yupo uraiani, anadunda...Ni Biashara ambazo mpaka wakuu wa nchi wapo,kupambana dhidi ya madawa ni kazi kubwa sana kwasababu wanapata baraka kutoka kwa wakuu wa nchi
Hemedy au Osman Bakayoko?Usimsahau Hemedi Bakayoko. Ingawa sasa ni marehemu. Alikua waziri mkuu wa Ivory Coast.