Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mnazungukazunguka huyo bwabwa ni Ben Kinyaiya.
bado pedeshee...........
mwanaume hawezi kuwa mrembo vile acha aolewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnazungukazunguka huyo bwabwa ni Ben Kinyaiya.
babu chondo umepata.
Nenda pale mitaa ya T, Manyanya utawakuta.
mmoja wa wapambe wake ni Uncle P.
bado pedeshee...........
mwanaume hawezi kuwa mrembo vile acha aolewe
Kuna uwezekano mkubwa sana limjamaa limojawapo kuwa ndo lihusika. Halafu domo naye sijui alisharudisha lile gari au bado hajaisha utamu?
Huyo pedeshee nahisi chief Kiumbe.
koh koh koh jaman mbona mnatoka nje ya mada
Utanisamehe binamu, umbea siachi ng'o labda kama una lingine
Ah! The big boss yuleyule aliyewaharibu kina chief of queen?
oh mkuu samahani kwa kutoka nje ya mada japo trend ni ileile, haya harusi lini ili nilete timu ya mapaparaz na mamamaraz kwa ajili ya picha za gazeti la udaku la jf?
Ila jamaa anawatindua balaa.
Ila jamaa anawatindua balaa.
Wacha watinduliwe wanapenda maisha ya haraka bila kufanya kazi, mwanaume mzima unajichubua unajiremba zaidi ya mwanamke mikono laini unafikiri kuna usalama hapo
Na mimi ntakuwepo kama mwandishi wa habar, akina Dinazarde watachezaje kigodoro mpaka hasubuh
Binamuuuu bi harusi tushamjua ni huyo bernadetha, je bwana harusi ni chief creature au?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Lakini jamaa anapata raha gani kwa ugomola huo?
Firauni firauni tu, wao wanapenda dhambi.