Sasa sijui unataka ni comment nini, ngoja tu nikumezee mate
Naomba tu usikomenti maana unaweza kukomenti kwa komenti yenye maana pana ikanigubika gubigubi nisipate kuona tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sijui unataka ni comment nini, ngoja tu nikumezee mate
Karibu tufuturu kwanza naona una swaumu kali unaongea sana..
sasa ben kinyaiya mbona anataka kupewa hela nyingi hata bure angekubali tu
Duhh...Hili jukwaa lina mambo....
Hahaha binamu kwa za uso tu sikuwezi, eti na wewe huendi kwenye red carpet kisa kibao kata. Hapa nishaanza mazoezi ya kulainisha nyonga binamu. Yani siku ya kibao kata ntazungushajee hadi mtahisi me ndo kanga moko mnipe na risasi ya K kabisaa kwikwikwi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahaha uwii nini k wakupige ya nukta kabisa
Hahaha washindwe kabisa, hawajui mjini msingi kiuno
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hiyo m5 mahali mkuu, yani anakuwa mke wake kabisaa
Nani wanaanza na B?
Ben Kinyaiya
B12
Hebu tajeni kwanza wanaoanza na B
yaani ambavyo siyajui hayo majina
nnalo leo kuwaza na kuwazua
Ndo Huyo huyo ben
eeh kumbe unawajua binamu? Umbea utanogaje sasa, yaani hao wapambe na wenyewe hawaoni aibu kumkuwadia mwanaume mwenzao? Kisa laki tano? na huyo ben kinyaiya simuaminigi kabisa mambo yake na kampani yake apo kinondoni, yani kampani yake haielewekagi wanaume sio wanaume yan full majanga
Binamu yangu, yaani nina bonge la umbea mpaka najishangaa.
Sijui nikufate chemba au niumwage hapa!!!!!!
Hahahahaha.....mjini rareeeeeeee.
Kha, mpaka naona aibu jamani.