Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

babu chondo umepata.
Nenda pale mitaa ya T, Manyanya utawakuta.
mmoja wa wapambe wake ni Uncle P.

eeh kumbe unawajua binamu? Umbea utanogaje sasa, yaani hao wapambe na wenyewe hawaoni aibu kumkuwadia mwanaume mwenzao? Kisa laki tano? na huyo ben kinyaiya simuaminigi kabisa mambo yake na kampani yake apo kinondoni, yani kampani yake haielewekagi wanaume sio wanaume yan full majanga
 
Kuna uwezekano mkubwa sana limjamaa limojawapo kuwa ndo lihusika. Halafu domo naye sijui alisharudisha lile gari au bado hajaisha utamu?

koh koh koh jaman mbona mnatoka nje ya mada
 
oh mkuu samahani kwa kutoka nje ya mada japo trend ni ileile, haya harusi lini ili nilete timu ya mapaparaz na mamamaraz kwa ajili ya picha za gazeti la udaku la jf?

Na mimi ntakuwepo kama mwandishi wa habar, akina Dinazarde watachezaje kigodoro mpaka hasubuh
 
Last edited by a moderator:
Binamuuuu bi harusi tushamjua ni huyo bernadetha, je bwana harusi ni chief creature au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wacha watinduliwe wanapenda maisha ya haraka bila kufanya kazi, mwanaume mzima unajichubua unajiremba zaidi ya mwanamke mikono laini unafikiri kuna usalama hapo

Yan yule kinyaiya kazidisha na alivyojitoboa sasa puani na kujishaua ukimkuta kinondon kwa mabwabwa wenzie mmh, yan maimartha kamuaribu mtoto wa watu na huyo mtoto aliyemzaa baba kapata
 
Na mimi ntakuwepo kama mwandishi wa habar, akina Dinazarde watachezaje kigodoro mpaka hasubuh

Naamini wewe siku hiyo utakua mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa hivyo nitakujumuisha kwenye gharama za jopo la wanahabari wote watakaoteuliwa kuripoti tukio kisha kuanika ugomola unaofanyika nchini huenda wakapunguza kama si kuacha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Binamuuuu bi harusi tushamjua ni huyo bernadetha, je bwana harusi ni chief creature au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Binamu mjiandae jaman na sare uko waambie mtaa wa pili kibao kata kinakuja nami ntakuwepo kama mpiga pichaa, kigodor mpaka hasubuh no kulala na mimi nitahairisha safar ya USA kwa ajili ya kigodor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…