Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

Binamu mjiandae jaman na sare uko waambie mtaa wa pili kibao kata kinakuja nami ntakuwepo kama mpiga pichaa, kigodor mpaka hasubuh no kulala na mimi nitahairisha safar ya USA kwa ajili ya kigodor

Hahaha binamu kwa za uso tu sikuwezi, eti na wewe huendi kwenye red carpet kisa kibao kata. Hapa nishaanza mazoezi ya kulainisha nyonga binamu. Yani siku ya kibao kata ntazungushajee hadi mtahisi me ndo kanga moko mnipe na risasi ya K kabisaa kwikwikwi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Uwiiii anza kabisa mazoezi binamu ya kulainisha kiuno, yani nataka siku hiyo msiniangushe binamu si unajua iko kibao kata kitakuwa cha funga mwaka? Maana na mimi siendi USA mchezo? Usalama upo hakuna wa kuwapiga risasi, kwanza tutawachukua akina matumbo na Matola lazima wakae ulinzi tunao wa kutosha binamu.
 
Last edited by a moderator:

Shaka ondoa binamu, kibao kata kitafunga mwaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Innalillah WainnaliRaajiun...

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kilainishe mwenzangu maana siku hizi wanaume wanatushinda kwa kukata nyonga mpaka mtu unabaki mdomo wazi
 
nitakuwa vacation na my wife Lara 1, live coverage nitaipata kupitia hapa natumaini hautotuangusha.
 
Last edited by a moderator:
nimeona picha yake moja ya zamani kijana alikua maji ya kunde

sa hivi nae ni cheupe dawa............................

Jaman mwenyew alisemaga alikaa sana ulaya na hali ya hewa ya kule ikampenda ndo maana akawa white sana ila alikana kujichubua kwa kuwa ni mwiko kwa mtoto wa ki africa kwa madai yake mwenyew
 
Kilainishe mwenzangu maana siku hizi wanaume wanatushinda kwa kukata nyonga mpaka mtu unabaki mdomo wazi

Niliendag siku moja usiku wanapaita sijui jacalanda mmh laan za uko zinatisha, wanaume wanakatika hadharan halafu nenda uwaongeleshe sasa hivyo vichambo utakavyopata mmh, halafu wapo barabaran kabisa yaan hii serikal inaacha huu upuuzi unafanyika hadharan badala ya kufunga izo bar
 
Kilainishe mwenzangu maana siku hizi wanaume wanatushinda kwa kukata nyonga mpaka mtu unabaki mdomo wazi

Shost nikishindwa kukilainisha mwenyewe naenda kuchukua mafunzo kwa baikoko au kanga moko. Lazima kieleweke mwaka huu, haiwezekani kina aunt Bilal watuzidi kunyongesha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yule jamaa kweli kajiremba kama binti naona tunaitaji ile sheria ya uganda hapa kwetu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Harusi ya mashoga mi nicheze kigodoro akuuuuuuu

Hayo hayakuhusu binamu, team jamii forum tunaenda kikazi tu mengine tunawaachie wenyewe mabalaa yao, yani nataka binamu ufanye mazoezi ya kufa mtu ubinuke na kumanua kama aunty ezekiel
 
Hayo hayakuhusu binamu, team jamii forum tunaenda kikazi tu mengine tunawaachie wenyewe mabalaa yao, yani nataka binamu ufanye mazoezi ya kufa mtu ubinuke na kumanua kama aunty ezekiel

Kina dada mna mambo sana aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…