Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

Naomba tu usikomenti maana unaweza kukomenti kwa komenti yenye maana pana ikanigubika gubigubi nisipate kuona tena.

Karibu tufuturu kwanza naona una swaumu kali unaongea sana..
 

Hahaha uwii nini k wakupige ya nukta kabisa
 
Sijawahi ona chagaa ---- kma ben toka nimjue dalili za uchoko anazo,acha wamzibue chemba tu mana hana hadhi ya mwanaume,atarudi kwao machame chemba ameziba na gunzi mana break zitakua hamna
 
Hivi yule aliyekuwa anatangaza na maimata ni nani tena?
 
Hahaha washindwe kabisa, hawajui mjini msingi kiuno

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wakutue binamu tena ukinoe haswa ukienda kwenye kigodoro ujibinue kama aunty ezekiel binamu na hamna kuvaa kitu ndani kitu mtepwetooo holaaaaaaa
 

Binamu yangu, yaani nina bonge la umbea mpaka najishangaa.
Sijui nikufate chemba au niumwage hapa!!!!!!
Hahahahaha.....mjini rareeeeeeee.
Kha, mpaka naona aibu jamani.
 
Binamu yangu, yaani nina bonge la umbea mpaka najishangaa.
Sijui nikufate chemba au niumwage hapa!!!!!!
Hahahahaha.....mjini rareeeeeeee.
Kha, mpaka naona aibu jamani.

Uwiiii binamu ebu nifuate chemba kwanza , yani apa mwili mzima unatetemeka, ebu njoo chemba unipe ladha binam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…