ohhhh mama hiyo picha hapo vip?Binamu mmmh watu wabaya ivi inakuwaje unamnaliliu mwenzio had anakufa? Hizi tamaa sasa too much, msiba wapi kwanza huenda tukapata na umbea mwingine
Aya binamu Dinazarde, Matola, Heaven on Earth, amu, princess sayuni, geniveros, ramu mamakibunju, lusungo, ROBERT MICHAEL, qn of sheba, Mrembo by Nature, zavi, matumbo njooni mjionee huku watu walivyofanya mambo
Binamu mmmh watu wabaya ivi inakuwaje unamnaliliu mwenzio had anakufa? Hizi tamaa sasa too much, msiba wapi kwanza huenda tukapata na umbea mwingine

Tena si hatari ndogo binamu.
Umbea wa mjini ujue na muendelezo wake
Ndo niko mtungini hapa nimeshika ngata.
We subiri mpwa, haraka ya nini kama unaogea nje?
Halafu si unajua inavyosisimua pale mtu anapokwambia ana umbea mzito? Yani mwili wote unasisimka mbili haikai wala tatu, mmh nyie binamu acheni masihara umbea mtamu bhana, mimi apa Madame B hadi kieleweke leo bhana
Amina.
Tanga ndo home kwetu, ila hiyo ishu wala sikuinyaka mpwa.
Jamani, pesa hizi.....aaaaaaa, staki mieeeeeee.
Mmh kazi unayo ndugu yangu, jinsia yangu mwenyew kubishana mbishane nyie, aya endeleeni kubishana uko mniache nilale au una lingine mkuu?
Huu ufirauni naona sasa umeuzidi wa sodoma na Gomorrah.
Binamu hiyo picha inatia kinyaa
Binamu hiyo pichaa noumaa ndio fauzi huyoo au ni jina ganii hilooo
Binamu mmmh watu wabaya ivi inakuwaje unamnaliliu mwenzio had anakufa? Hizi tamaa sasa too much, msiba wapi kwanza huenda tukapata na umbea mwingine
Aya binamu Dinazarde, Matola, Heaven on Earth, amu, princess sayuni, geniveros, ramu mamakibunju, lusungo, ROBERT MICHAEL, qn of sheba, Mrembo by Nature, zavi, matumbo njooni mjionee huku watu walivyofanya mambo
Ni balaaa ni dume hilo au jikeeee
Ok,sehemu gani Madame?! Nimesoma darajani primary,Usagara kabla ya kuja A-levo Azania na kuendelea na nina makazi mabawa!!
Fauzi alimegwa hadi hoi bin chakari,wazungu wakampeleka Bombo hospital getini na kumuacha na akafia hapo!!!
Mkuu mie Lushotooooooo.....Tanga mjini naendaga kuchuna mabuzi
Haya mndele sijui mtae au mashewa haina noma,swali la kizushi- kuna kundi la wadada pale barabara ya 4 lilivumaga sana kwa wadada warembo waliounda umoja wa kugawa mambo kwa jina maarufu REAL MADRID,vipi haukuwa na connection nao??!!
Hao walitamba kwa tanga tu,kabla hata ya hao kanga moko,walikuwa wanapigana miti huku wanaruka sarakasi pia!!!
Yalwaaaa...nafwa mie MoudyBoka.
Walikufaga na UKIMWI wale
Binamu mmmh watu wabaya ivi inakuwaje unamnaliliu mwenzio had anakufa? Hizi tamaa sasa too much, msiba wapi kwanza huenda tukapata na umbea mwingine
Aya binamu Dinazarde, Matola, Heaven on Earth, amu, princess sayuni, geniveros, ramu mamakibunju, lusungo, ROBERT MICHAEL, qn of sheba, Mrembo by Nature, zavi, matumbo njooni mjionee huku watu walivyofanya mambo
sorry , kuna ubishi flani hapa nilipo kuhusu jinsia yako..hivi.mkuu..wewe ni ke au me?