Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Halafu si unajua inavyosisimua pale mtu anapokwambia ana umbea mzito? Yani mwili wote unasisimka mbili haikai wala tatu, mmh nyie binamu acheni masihara umbea mtamu bhana, mimi apa Madame B hadi kieleweke leo bhana

sorry , kuna ubishi flani hapa nilipo kuhusu jinsia yako..hivi.mkuu..wewe ni ke au me?
 
Last edited by a moderator:
sorry , kuna ubishi flani hapa nilipo kuhusu jinsia yako..hivi.mkuu..wewe ni ke au me?

Mmh kazi unayo ndugu yangu, jinsia yangu mwenyew kubishana mbishane nyie, aya endeleeni kubishana uko mniache nilale au una lingine mkuu?
 
Amina.
Tanga ndo home kwetu, ila hiyo ishu wala sikuinyaka mpwa.
Jamani, pesa hizi.....aaaaaaa, staki mieeeeeee.

Ok,sehemu gani Madame?! Nimesoma darajani primary,Usagara kabla ya kuja A-levo Azania na kuendelea na nina makazi mabawa!!

Fauzi alimegwa hadi hoi bin chakari,wazungu wakampeleka Bombo hospital getini na kumuacha na akafia hapo!!!
 
Mmh kazi unayo ndugu yangu, jinsia yangu mwenyew kubishana mbishane nyie, aya endeleeni kubishana uko mniache nilale au una lingine mkuu?

Binamu hiyo pichaa noumaa ndio fauzi huyoo au ni jina ganii hilooo
 
Ok,sehemu gani Madame?! Nimesoma darajani primary,Usagara kabla ya kuja A-levo Azania na kuendelea na nina makazi mabawa!!

Fauzi alimegwa hadi hoi bin chakari,wazungu wakampeleka Bombo hospital getini na kumuacha na akafia hapo!!!

Mkuu mie Lushotooooooo.....Tanga mjini naendaga kuchuna mabuzi
 
Mkuu mie Lushotooooooo.....Tanga mjini naendaga kuchuna mabuzi

Haya mndele sijui mtae au mashewa haina noma,swali la kizushi- kuna kundi la wadada pale barabara ya 4 lilivumaga sana kwa wadada warembo waliounda umoja wa kugawa mambo kwa jina maarufu REAL MADRID,vipi haukuwa na connection nao??!!

Hao walitamba kwa tanga tu,kabla hata ya hao kanga moko,walikuwa wanapigana miti huku wanaruka sarakasi pia!!!
 
Yalwaaaa...nafwa mie MoudyBoka.
Walikufaga na UKIMWI wale
 
Last edited by a moderator:
Yalwaaaa...nafwa mie MoudyBoka.
Walikufaga na UKIMWI wale

Usife kwanza bwana bado unahitajika na wengi,Vpi Madrid wamekukumbusha nini?! Nilizani wapo unisajili maana kuna wenzao walinilia visenti vyao halafu nikawaachia tu free lunch mtu 4 bibie??!!

Ila nimeamini we umekula bata kama hawa pia unawajua,salute kwa Madame B!!
 
Last edited by a moderator:
Binamu mmmh watu wabaya ivi inakuwaje unamnaliliu mwenzio had anakufa? Hizi tamaa sasa too much, msiba wapi kwanza huenda tukapata na umbea mwingine

Aya binamu Dinazarde, Matola, Heaven on Earth, amu, princess sayuni, geniveros, ramu mamakibunju, lusungo, ROBERT MICHAEL, qn of sheba, Mrembo by Nature, zavi, matumbo njooni mjionee huku watu walivyofanya mambo

Thats to much aisee raha gani nahamu waliyokuwa nayo aisee mbona majanga sijui kwa Mungu unajibu nini have mercy on us
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom