Siyo tunaenda wapi. Ukishakufa habari yako ndiyo imeisha hivyo na hauna tena faida kwenye hii dunia na unakuwa uchafu.
Thamani ya mtu akiwa hai tu. Miji inabadilika, kabla ya dar kuwa jiji utakuta kariakoo kuna makaburi. Sasa wayaache kisa wafu wamelala? Ndiyo maana sehemu nyingine wanachoma moto