Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Nursery School kama sikoseiDah ni mbunge gani huyo naona hiyo habari sikuipata
Nadhani ni tofauti za lifestyle kati ya sisi na wenzetu kuhusu ufugaji wa domestic animals
Huko Nje kuna mpaka hospitali za wanyama na madaktari wenye skills za kutosha na wanapiga hela ndefu tu
Africa sijawahi kuona hospitali ya wanyama zaidi ya madaktari tu wanaozunguka kutibu wanyama