Pele na Magoli yake 1,000

Pele na Magoli yake 1,000

kama Pirlo unaweza kusema hana pace lakini he is known for his vision, technique, creativity, passing, and free kick ability.
Kumbuka Pirlo huyu huyu alihojiwa na Akasema "mpira unachezwa kichwani vilivyobakia Ni vifaa "
Yeye Kama CM anajua unahitaji akili kuboss the m'field na maeneo mengine.
C'seedorf pia alieleza akili ndio kitu kimegawa madaraja ya wachezaji sio nguvu.

Mana Kuna Jambo ni rahisi kumuona Pele akifanya ila hata leo mtu akijaribu ataishia pabaya ( Intelligence ya Pele katika kuona moves zote kabla hazijatokea Ni kubwa ) Sasa kazi hii mpe mwenye maguvu Kama Adama Traore uone ilivyo ngumu.
1739685889050.jpg
 
Nadhani haujanielewa Mfano Brazil mfumo wao wa mpira ulikuwa based on individual skills and showmanship (watu kama kina Neymar, Pele n.k.) sasa sababu soko kubwa ni Ulaya academy nyingi zinafundisha watoto ili waje waende kucheza ulaya (ndio kuna pesa) hence zile theme za kufurahisha watu za kina Okocha, Neymar na watu kama hao zinakuwa zinakatazwa kwamba zinapoteza muda thus ndio maana workcup za zamani ulikuwa unapata vionjo tufauti kutokana na nani ndio nani jambo ambalo sasa hivi limepungua
Nilichoona Americano wengi wanaharibikia Ulaya iwe wakibebwa na maskauti na kuungwa akadem au kujiunga Kama Pro.
Ndio Mana wengi wanaokuja Ulaya mpira wa huku unakuwa mgumu kwao unless waende timu na Ligi zinazoruhusu mpira wa kujieleza na kukupa nafasi ya kucheza Continental futebol.
 
Kumbuka Pirlo huyu huyu alihojiwa na Akasema "mpira unachezwa kichwani vilivyobakia Ni vifaa "
Yeye Kama CM anajua unahitaji akili kuboss the m'field na maeneo mengine.
C'seedorf pia alieleza akili ndio kitu kimegawa madaraja ya wachezaji sio nguvu.
Mkuu hivi unaongelea nini hapa nadhani tunazidi kutoka katika point pole pole na kuelekea in the middle of nowhere.., chukulia kama una toolbox lenye nyenzo tufauti hivyo unachofanya ni ku maximize unachotaka kufanya kulingana na ulichonacho, ofcourse brains matters huwezi ukawa unakimbia kimbia tu bila motive, lakini huwezi kusema watu wa zamani walikuwa hawana akili, na Pirlo kwa busara zake hata kama hana pace aliweza kutumia accuracy ya pasi zake kufanya kile ambacho huenda mtu mwenye pace angefanya..., tukichukulia ile Galacticos ya kina Zidanne na full of stars ila walihitaji mtu kama Claude Makelele ili kuweza kufanya donkey works, kwa macho ya kawaida huyu hakusifika lakini ndio yeye alikuwa anakaba na kutafuta mipira ili awape kina Zizzu (Na kocha alijua hilo na ku build team around him

Sasa tukija kwenye point hawa watu wote ambao wana akili kuna kundi walicheza na watu / mabeki ambao ilikuwa ruksa kutumia nyenzo yoyote na kuwaumiza (buti) no matter defender alikuwa na maguvu au hapana lakini aliweza kuwazuia kwa kutumia mbinu ambazo sasa ni faulo...

Mbili sasa hivi advance of medicine na kujidunga na kutumia some hormones kumefanya watu wakiumia waweze ku heal haraka (jambo ambalo zamani lilikuwa halipo) mtu kama Messi asingefikia hapa halipo sasa hivi sababu alikuwa na shida ya kukua bila Barca kumpa some expensive medication (growth hormones) angeendelea kuwa Andunje, mtu kama Ronaldo de Lima au Ronaldinho unaweza kudhani hawana nguvu ila jaribu kuondoa mpira katikati ya miguu yao ndio utaona mziki..., Hence sio kwamba wachezaji wa sasa wote wasingeweza kucheza zamani (people adapt) ila ni kwamba strikers wa zamani they had it harder kutokana na sheria hazikumlinda stricker kama sasa hivi
Mana Kuna Jambo ni rahisi kumuona Pele akifanya ila hata leo mtu akijaribu ataishia pabaya ( Intelligence ya Pele katika kuona moves zote kabla hazijatokea Ni kubwa ) Sasa kazi hii mpe mwenye maguvu Kama Adama Traore uone ilivyo ngumu.View attachment 3237478
Waliomsajili Adama Traore walimsajii ili afanye nini ? Afanye kama anavyofanya Pele au kuna kitu Kocha aliona kinaweza kuongeza dimension ? Kuna kocha alishasema give me 9 Grafters and a Goal Scorer and I will win you the League...

Football is team game na talent is no substitution of hard work....
 
Nilichoona Americano wengi wanaharibikia Ulaya iwe wakibebwa na maskauti na kuungwa akadem au kujiunga Kama Pro.
Ndio Mana wengi wanaokuja Ulaya mpira wa huku unakuwa mgumu kwao unless waende timu na Ligi zinazoruhusu mpira wa kujieleza na kukupa nafasi ya kucheza Continental futebol.
Academy nyingi Duniani zina connection na Ulaya hivyo mtoto huyu tangia anavyokuwa anakatazwa / au anakupunguziwa self expression, ndio maana tutaendelea kuwa na varities chache siku baada ya siku ndio maana kuna siku niliuliza kama Mpira Tanzania ndio umekua au Afrika ndio umeshuka (hata talent zote za Afrika zipo Ulaya huku yamebakia Makapi)

 
Back
Top Bottom