Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Maybe...Mkuu we unakijua kizazi Cha Cha akina Musa Hasan mgosi kuja huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe...Mkuu we unakijua kizazi Cha Cha akina Musa Hasan mgosi kuja huku
Sasa Mimi ni wa zamani kidogo.Maybe...
Kumbuka Pirlo huyu huyu alihojiwa na Akasema "mpira unachezwa kichwani vilivyobakia Ni vifaa "kama Pirlo unaweza kusema hana pace lakini he is known for his vision, technique, creativity, passing, and free kick ability.
Nilichoona Americano wengi wanaharibikia Ulaya iwe wakibebwa na maskauti na kuungwa akadem au kujiunga Kama Pro.Nadhani haujanielewa Mfano Brazil mfumo wao wa mpira ulikuwa based on individual skills and showmanship (watu kama kina Neymar, Pele n.k.) sasa sababu soko kubwa ni Ulaya academy nyingi zinafundisha watoto ili waje waende kucheza ulaya (ndio kuna pesa) hence zile theme za kufurahisha watu za kina Okocha, Neymar na watu kama hao zinakuwa zinakatazwa kwamba zinapoteza muda thus ndio maana workcup za zamani ulikuwa unapata vionjo tufauti kutokana na nani ndio nani jambo ambalo sasa hivi limepungua
Mkuu hivi unaongelea nini hapa nadhani tunazidi kutoka katika point pole pole na kuelekea in the middle of nowhere.., chukulia kama una toolbox lenye nyenzo tufauti hivyo unachofanya ni ku maximize unachotaka kufanya kulingana na ulichonacho, ofcourse brains matters huwezi ukawa unakimbia kimbia tu bila motive, lakini huwezi kusema watu wa zamani walikuwa hawana akili, na Pirlo kwa busara zake hata kama hana pace aliweza kutumia accuracy ya pasi zake kufanya kile ambacho huenda mtu mwenye pace angefanya..., tukichukulia ile Galacticos ya kina Zidanne na full of stars ila walihitaji mtu kama Claude Makelele ili kuweza kufanya donkey works, kwa macho ya kawaida huyu hakusifika lakini ndio yeye alikuwa anakaba na kutafuta mipira ili awape kina Zizzu (Na kocha alijua hilo na ku build team around himKumbuka Pirlo huyu huyu alihojiwa na Akasema "mpira unachezwa kichwani vilivyobakia Ni vifaa "
Yeye Kama CM anajua unahitaji akili kuboss the m'field na maeneo mengine.
C'seedorf pia alieleza akili ndio kitu kimegawa madaraja ya wachezaji sio nguvu.
Waliomsajili Adama Traore walimsajii ili afanye nini ? Afanye kama anavyofanya Pele au kuna kitu Kocha aliona kinaweza kuongeza dimension ? Kuna kocha alishasema give me 9 Grafters and a Goal Scorer and I will win you the League...Mana Kuna Jambo ni rahisi kumuona Pele akifanya ila hata leo mtu akijaribu ataishia pabaya ( Intelligence ya Pele katika kuona moves zote kabla hazijatokea Ni kubwa ) Sasa kazi hii mpe mwenye maguvu Kama Adama Traore uone ilivyo ngumu.View attachment 3237478
Academy nyingi Duniani zina connection na Ulaya hivyo mtoto huyu tangia anavyokuwa anakatazwa / au anakupunguziwa self expression, ndio maana tutaendelea kuwa na varities chache siku baada ya siku ndio maana kuna siku niliuliza kama Mpira Tanzania ndio umekua au Afrika ndio umeshuka (hata talent zote za Afrika zipo Ulaya huku yamebakia Makapi)Nilichoona Americano wengi wanaharibikia Ulaya iwe wakibebwa na maskauti na kuungwa akadem au kujiunga Kama Pro.
Ndio Mana wengi wanaokuja Ulaya mpira wa huku unakuwa mgumu kwao unless waende timu na Ligi zinazoruhusu mpira wa kujieleza na kukupa nafasi ya kucheza Continental futebol.