PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

Mtu aneitwa Edson Arantes Dos Nascimento Almaarufu Pele Yupo kwenye Paranoia Kubwa Mno kwa Sababu ya Lionel Messi Hofu yake kubwa ni kwamba Messi Amechukua kiti Alichokikalia kwa Muda Mrefu yaani Soka Kwahio anajaribu kutaka kum crash ili aendelee kukalia kiti Hicho!
Shame on you.....umezeeka Vibya!
 
HUYO PELLE KILAZA, HADI LEO HAJUI KUWA MESSI NDO MCHEZAJI BORA
ronaldo anajua mipira yote,wa timu na binfsi,messi ni team player tu,mfumo ukimtenga humuoni,ndomana alinuna ibrahimovic alipopewa jukumu la kumaliza,akatishia kuondoka,ikabidi shifo ibrahimovic aondoke barca
 


Wewe Jamaa mbona mbishi sana...maana nachokiona unaforce watu wakubali unachokiamini kitu ambacho ni kigumu maana tunatofautiana mawazo, ebu ona hadi ALBA anamwita Genius RONALDO Over MESSI.

 
Wewe Jamaa mbona mbishi sana...maana nachokiona unaforce watu wakubali unachokiamini kitu ambacho ni kigumu maana tunatofautiana mawazo, ebu ona hadi ALBA anamwita Genius RONALDO Over MESSI.

View attachment 527522
Lakini ukumbuke anasema Messi is Extraordinary...Refer Physics kaka Einstein was Genius but Newton was Extraordinary....kama Hujui Extraordinary is More than Genius ma Geniuos wapo wengi sana!
 
Teh
pele kafanya makubwa alipo kua anasakata kabumbu.
Hata hivyo haimaanishi opinion yake ndio final.
Opinions are assholes,everyone has one.
 
Yes Ronaldo ni mzuri kuliko Messi ndio maana hata Morocco wanampenda. Lakini kwenye soka, Lionel 'Leo' Messi a.k.a Messiah ndio mchezaji bora. Kama unabisha, muulize Renata kitu wamefanywa na Messi Bernabeu mbele ya mashabiki wao.
 
Teh
pele kafanya makubwa alipo kua anasakata kabumbu.
Hata hivyo haimaanishi opinion yake ndio final.
Opinions are assholes,everyone has one.
Fact afu Mzee anazeeka Vibayaa yaani Hasa kwa Huu Msimu Messi amekuwa Bora sana Kuliko Ronaldo Ukiachana Na Trophies walizoshindaa!
 
Mawazo ya kiafrika hayo ....wivu wivu wa namna hiyo kule hamna ....jenga hoja iliyokamilika

NB; I'm leo fan
 
Kaka kweli una akili timamu??? Messi amzidi PELE???? PELE KASHINDA MAKOMBE MATATU YA KOMBE LA DUNIA.. MESSI HATA COPA AMERICA HANA.. YAAN WEWE NI BOYA NA HUFAI HATA KUSHABIKIA MPIRA MPUUZI WEWE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…