Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Halafu Lile la Messi Juzi Bernabeu Halitokaa litoke kwenye Moyo wakoIle mbona kawaida tu Ronaldo alishafanya...unaikumbuka na hii jinsi ukuta wenu ulivyopagawa baada ya Ronaldo kutia kambi kwenye BoX la barca???..ilimbidi pique akae chini tu na alves anafika golini tayari madhambi yameshafanywa na CRISTIANO!...like goli Daima litabakia kwenye akili ya pique adi aende kaburini halitofutika kamwe...Cr7 alikuwa kwenye [HASHTAG]#MotoWake[/HASHTAG] bwana.
View attachment 527703