PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

Verratti_2842633.jpg

HABARI NJEMA KWA BARCELONA!
Kiungo Machachari wa Club ya Paris saint Germain Muitaliano Marco Verrati Ameiambia Club yake hiyo imuachie aende zake Catalan Kujiunga na Miamba Hiyo ya Hispania! Verrati amedai kwamba Hatokuwa tayari Kucheza na ataigomea club Hiyo Kucheza katika mwanzo wa msimu Endapo itakataa kumuuza kwenda Barcelona!
Source! Goal.com

[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
 
Akuna sku nmemdharau mess km sku wako ugenini kwa PSG skuamini dk 90 adi za nyongeza zinaisha Mess ata attempt 1 golini hakuna,alafu alafu wasioukubali ukweli bado tu wanamlinganisha na Nguli C.Ronado ifike sehemu watu basi muwe na aibu ! Mtachekwa jamani.Juzi tu kazenguliwa kodi kajifanya kususa na kuama nchi angalia sasa vilabu vinavopigana vigingi kumnyakua yani wako tayari kulipa gharama zote ilimrad wampate bila kujali umri wake ,uyu MTU ni bidhaa adimu jamani.
Kwahyo mchezaji bora anatafsiriwa mechi moja tu du wewe kiboko,

Kwa hiyo fact yako mkuu utakuja useme oliver giroud Ni no 9 bora pale ufaransa na hana mpinzani
 
ronaldo anajua mipira yote,wa timu na binfsi,messi ni team player tu,mfumo ukimtenga humuoni,ndomana alinuna ibrahimovic alipopewa jukumu la kumaliza,akatishia kuondoka,ikabidi shifo ibrahimovic aondoke barca
Nakupinga kwa 100%
Msimu huu Barcelona ilikuwa out of form,huyo huyo messi unayesema hayupo vizuri individual,ndie mchezaji ambaye amekuwa na performance nzuri mzuri wa 2016/2017 ulaya nzima kma Si dunia
 
B
Mkuu tatizo sio hilo ila TUANZIE KUCHUKUA TAKWIMU ZAO WALIPOANZA KUWA WOTE PALE LALIGA maana games nyingi ambazo Ronaldo amekuwa involved bila kufunga ni zile za Man-U in EPL(Ligi ambayo ata Huyo messi wenu hawezi kwenda kwa hofu ya kupotea) ambapo Ronaldo alifunga goals 118 katika mechi 256...ila kwa pale Spain akiwa Real in LaLiga messi hagusi ata chembe...yani Ronaldo ana goals nyingi(285) kuliko michezo yote aliyocheza Laliga 265...huku messi akiwa na goals chache(349) kuliko michezo yote 382 aliyocheza LaLiga ina maana zipo games 33 ambazo messi amecheza pale laliga bila ya kufunga goli ata moja huku mwenzie RONALDO AMESHINDA KATIKA MECHI ZOTE ALIZOCHEZA LALIGA NA ANA GOALS 20+ ZAIDI YA MICHEZO ALIYOCHEZA PALE SPAIN NA NDIO MAANA RATE YA UFUNGAJI KWA RONALDO NI NZURI KULIKO MCHEZAJI YOYOTE KUWAHI KUTOKEA PALE LALIGA...ALAFU MISIMU MITANO AMBAYO MESSI EMEMZIDI RONALDO IMELETA TOFAUTI YA GOALS 64 tu(349 Goals for messi - 265 Goals for Cristiano =64 goals) kwa hiyo kuna misimu kama minne pale LaLiga messi amekuwa na wastani Wa goals 13 per season....SASA KAMA RONALDO HAJAWAI FUNGA GOALS CHACHE CHINI YA 20+ TOKEA ATUE PALE LALIGA JULY-2009 NA KAMA MSIMU WA 2014/2015 ALIWEZA KUIFUNGIA MADRID GOALS 46 ZA LALIGA INA MAANA RONALDO ANGETANGULIA MSIMU MMOJA NA NUSU PALE SPAIN IN LALIGA ANGEKUWA AMESHAMZIDI MESSI GOALS KADHAA NA KAMA ANGEANZIA SOCCER LAKE PALE SPAIN MESSI ANGEPOTEZWA VIBAYA SANA...

View attachment 527554
View attachment 527555
Brother hizo stastics zako za wapi yani msimu wa 2016/2017 messi ana goals ratio ya 0.96 Ronaldo 1 duh embu fuatilia vizuri.
 
Kuishia Darasa la tatu ni Tatizo Kubwa Mno.. Kushinda Kombe la Dunia ni Kigezo ila sio Kikubwa kama unavodhani....Think out of the Box Panua Fikra..Acha uvivu wa Kufikiri....Hii ni Karne ya 21!
Huna akili kichwani humo... kwako ww kigezo kupiga chenga??? Kama ndivyo messi hata okocha hamfikii.. we ni mpumbavu tena sijawahi kuona..
 
Huna akili kichwani humo... kwako ww kigezo kupiga chenga??? Kama ndivyo messi hata okocha hamfikii.. we ni mpumbavu tena sijawahi kuona..
Messi anauchezea Mpira na kufunga,naomba uniambie huyo okocha kwenye Carrier yake yote ana magoli mangapi
 
ronaldo anajua mipira yote,wa timu na binfsi,messi ni team player tu,mfumo ukimtenga humuoni,ndomana alinuna ibrahimovic alipopewa jukumu la kumaliza,akatishia kuondoka,ikabidi shifo ibrahimovic aondoke barca

Jamaa ni complete player na ana goals nyingi kwa mguu wake zaifu(Wa kushoto) kuliko messi kwa mguu wake zaifu(Wa Kulia)... NA ANA HEADERS NYINGI MARA 4 YA MESSI...EBU WAULIZE HAO MESSI FAN BOYS KUWA LEO10 ANA GOALS NGAPI ZA HEADERS?...KAMA SI KICHEKESHO UTAKACHOPEWA HAPO.

Screenshot_2017-05-03-14-02-30.png


Na hiyo ni Hadi kufikia 1 MAY 2017, lakini Hadi Sasa ana Goals za header 108...Sasa uliza Header za Messi kama zimefika ata 40 tu ni bahati...kwa jinsi hii Ronaldo anavyoruka juu DAIMA ATABAKIA KUWA MFALME WA HEADERS MESSI HAFIKII ATA AKIGEWA GOALS 50 BURE ZA HEADER...So Weak to him!

1_cristiano_ronaldo_2016.jpg


Ame destroy EPL(ENGLISH PREMIERE LEAGUE) NA SASA ANAENDELEZA UHARIBIFU WAKE KULE LALIGA!!!

14976050379849.jpg

cristiano_ronaldo__3459736b.jpg
 
Asiyekubali Ronaldo ni zaidi ya Messi...
1.Haujui mpira
2.Mahaba/mihemuko inamuongoza.Huyu hawezi kusema tofauti na kilichomo ndani yake (mahaba)
Kwani mchezaji bora duniani anatakiwa awe na nini
1.magoli mengi?? It means mabeki na.makipa hawaruhusiwi kuwa wachezaji bora duniani??
2.pesa nyingi??
3.mafanikio kisoka??
 
Sasa mkuu huyo zilatan mwenyewe na huyo Messi wako wote wameburuzwa...UNATEGEMEA ASEME NINI TENA???

View attachment 527631
Weka ma idadi ya mechi walizocheza pia. We umeanza kucheza miaka 2 nyuma ya mwenzako halafu unajitamba na magoli mengi
Angalia stats na goal ratio per match utaona messi yuko juu.
 
Huna akili kichwani humo... kwako ww kigezo kupiga chenga??? Kama ndivyo messi hata okocha hamfikii.. we ni mpumbavu tena sijawahi kuona..
wewee ni Shoga yaani vitu vidogo unashindwa kuelewaa? acha kupigwa Mashinee unapoteaa ahahahahaaa Ma Gay Bhana!
 
Lakini ukumbuke anasema Messi is Extraordinary...Refer Physics kaka Einstein was Genius but Newton was Extraordinary....kama Hujui Extraordinary is More than Genius ma Geniuos wapo wengi sana!

Mhhh!...hiyo yako mwenyewe me sijaona hapo Mahala amesema messi ni extraOrdinary....on other hand I salute to the Geniuses more than ExtraOrdinary Ones.
 
Mhhh!...hiyo yako mwenyewe me sijaona hapo Mahala amesema messi ni extraOrdinary....on other hand I salute to the Geniuses more than ExtraOrdinary Ones.
Basi Ahsantee kwa Kukubali kwamba Messi is EXTRAORDINARY na Ronaldo is Genious!
 
Fact afu Mzee anazeeka Vibayaa yaani Hasa kwa Huu Msimu Messi amekuwa Bora sana Kuliko Ronaldo Ukiachana Na Trophies walizoshindaa!

Pleas!..make it Clear sio BlahBlah tu...messi amekuwa bora msimu huu uliomalizika kwa lipi???...KAMA ISHU NI KUWA MFUNGAJI BORA LALIGA ATA RONALDO ALIWAHI KUWA MFUNGAJI BORA MSIMU WA 2014/2015 AKIWA NA GOALS 48 HUKU AKIWA WA PILI KWENYE ASSISTS(Alikuwa nazo 16 akizidiwa mbili tu na Messi) NA AKACHUKUA GOLDEN BOOT PIA BUT TROPHIES WALIZOCHUKUA BARCA ZILIMSAIDIA MESSI KUTWAA BALLON D'or 2015 DHIDI YA RONALDO UKIZINGATIA MADRID WALIKUWA WAMEPOTEZA VIKOMBE VYOTE MUHIMU KWA HIYO KWA UPANDE WA ACHIEVEMENTS ULIMSHUSHA SANA RONALDO MESSI ALICHUKUA VIKOMBE VINGI ZAIDI YAKE...NDIVYO HIVYO KAMA HIVI SASA KUWA MESSI AMEIBUKA KUWA MFUNGAJI BORA LALIGA 2016/2017 DHIDI YA RONALDO LAKINI VIKOMBE WALIVYOBEBA REAL VITAMSAIDIA RONALDO KUTWAA BALLON D'or 2017...nafikiri nimeeleweka vyema hapo.

IMG_201706171_050042.jpg

IMG_201706171_050133.jpg
 
Nakupinga kwa 100%
Msimu huu Barcelona ilikuwa out of form,huyo huyo messi unayesema hayupo vizuri individual,ndie mchezaji ambaye amekuwa na performance nzuri mzuri wa 2016/2017 ulaya nzima kma Si dunia
unajificha kwenye kichaka cha performance ya timu?!..barcelona kama timu na mfumo wao inaenda chini lakini bado mfumo unambeba messi
 
KAKA MBONA HILI LA EL CLASSICO MNAKWEPA...MESSI ALIFANYA NINI? NA ROALDO ALIFANYA NINI?

Ile mbona kawaida tu Ronaldo alishafanya...unaikumbuka na hii jinsi ukuta wenu ulivyopagawa baada ya Ronaldo kutia kambi kwenye BoX la barca???..ilimbidi pique akae chini tu na alves anafika golini tayari madhambi yameshafanywa na CRISTIANO!...lile goli Daima litabakia kwenye akili ya pique adi aende kaburini halitofutika kamwe...Cr7 alikuwa kwenye [HASHTAG]#MotoWake[/HASHTAG] bwana.

137367592.jpg
 
Back
Top Bottom