Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
HABARI NJEMA KWA BARCELONA!
Kiungo Machachari wa Club ya Paris saint Germain Muitaliano Marco Verrati Ameiambia Club yake hiyo imuachie aende zake Catalan Kujiunga na Miamba Hiyo ya Hispania! Verrati amedai kwamba Hatokuwa tayari Kucheza na ataigomea club Hiyo Kucheza katika mwanzo wa msimu Endapo itakataa kumuuza kwenda Barcelona!
Source! Goal.com
[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]