PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

Ile mbona kawaida tu Ronaldo alishafanya...unaikumbuka na hii jinsi ukuta wenu ulivyopagawa baada ya Ronaldo kutia kambi kwenye BoX la barca???..ilimbidi pique akae chini tu na alves anafika golini tayari madhambi yameshafanywa na CRISTIANO!...like goli Daima litabakia kwenye akili ya pique adi aende kaburini halitofutika kamwe...Cr7 alikuwa kwenye [HASHTAG]#MotoWake[/HASHTAG] bwana.

View attachment 527703
Halafu Lile la Messi Juzi Bernabeu Halitokaa litoke kwenye Moyo wako
 
Wewe ni Mzungu .....hahahahaaa hii Mijinga sijui inatokea wapi?
Kipindi n ikiwa kijana wa miaka 15 Niliambiwa mashabiki wa Man u (Ronaldo Fans) unganisha na wa Madrid ni mashabiki wenye mihemko na aina Fulani ya Utaahira Nilikuwa siamini ila sasa Naanza kuamini


Hahahaa Kijana unajua wewe unajificha Nyuma ya Jani Chukua stats za mechi zao zote mbona kila siku unakimbilia Hizi Record Mbili tu? embu tizama katika mechi zote kwa ujumla nan ana Goal ratio kubwa? Halafu ukipata Uje unitag!

Sio hizo tuu Ronaldo ana UNBEATEN RECORDS NYINGI DHIDI YA MESSI zikiwemo hizi...

Cristiano-Ronaldos-100-career-headers-stats-696x464.jpg

DCgD-g1W0AA9AxU.jpg

C-mHJKUWsAINNDa.jpg
DCbLnAUVYAEUF_F.jpg

Screenshot_2017-06-04-15-45-51.png

Screenshot_2017-05-24-15-51-58.png

Screenshot_2017-05-03-13-25-57.png

Screenshot_2017-05-03-14-05-16.png

Screenshot_2017-05-03-15-00-27.png

Screenshot_2017-05-03-15-31-25.png

IMG_201705141_033056.jpg
 
Verratti_2842633.jpg

HABARI NJEMA KWA BARCELONA!
Kiungo Machachari wa Club ya Paris saint Germain Muitaliano Marco Verrati Ameiambia Club yake hiyo imuachie aende zake Catalan Kujiunga na Miamba Hiyo ya Hispania! Verrati amedai kwamba Hatokuwa tayari Kucheza na ataigomea club Hiyo Kucheza katika mwanzo wa msimu Endapo itakataa kumuuza kwenda Barcelona!
Source! Goal.com

[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]

Kiungo mzuri namkubali sana, anakaribishwa LaLiga aje atiwe Dawa na Luka Modric pale dimbani katika El Classicos!
 
2014 aliambiwa ataje timu anayodhan itanyakua kombe la dunia akasema england
Ferguson msimu huu alisema Chelsea haitakuwepo top4, maajabu Chelsea akabeba kombe kabsaaa!
 
Yule aliyesusa baada ya kupahisha penaty kule marekani ni nani vile [emoji23][emoji23]
Mkuu kipindi kile ilikuwa inaitwa peñalty ya mwendo kasi, kutoka mlandizi mpaka unguja shoot Hilo!
 
ronaldo anajua mipira yote,wa timu na binfsi,messi ni team player tu,mfumo ukimtenga humuoni,ndomana alinuna ibrahimovic alipopewa jukumu la kumaliza,akatishia kuondoka,ikabidi shifo ibrahimovic aondoke barca
Ronaldo ni best in terms of energy and scoring.....

...Messi ni best player,scorer,play maker, creater..assister..team work..controlling...dribbling..intelligent,.. Etc
 
Ronaldo ni best in terms of energy and scoring.....

...Messi ni best player,scorer,play maker, creater..assister..team work..controlling...dribbling..intelligent,.. Etc
angalia mechi ya arsenal vs barce ambayo barce alipoteza 2-1,mechi ambayo wilshere alicheza mpira wa maisha yake,xavi anakiri hakuwahi kuwa outplayed kiasi kile,messi alikuwa mzururaji tu mule kama muuza ndizi
 
We jamaa kwa kupiga debe unaweza

Sasa Mkuu debe gani WAKATI NI KWELI PELE AMEYASEMA MWENYEWE???...alafu Huyo jamaa amehitaji records za Cr7 mbali ya zile nilizompostia mwanzo...nami nikampatia tatizo nini ulionalo wewe???...isitoshe nilichokipost SIO FORGERY BALI KWELI HIZO NI RECORDS ZA RONALDO AMEZIWEKA MWENYEWE, je ningekuwa ni mshabiki Wa Barca...nikapost Records za MESSI...Ungehoji???
 
Ronaldo ni best in terms of energy and scoring.....

...Messi ni best player,scorer,play maker, creater..assister..team work..controlling...dribbling..intelligent,.. Etc

Mkuu kheri wewe umehit some truth...yani in terms of scoring RONALDO NI GOALS SCORING MACHINE NA HII NDIO KAZI KUBWA YA STRIKER MAANA MAGOLI NDO YANAIPA TIMU POINTS ZA KUONGOZA KWENYE LIGI...Hayo mengine kama dribbling ni ziada tu ambazo hufanywa na striker kama kutukosha tuu mashabiki na waangaliaji soccer kwa ujumla kutokana na aina hiyo ya mpira huvutia.
 
Ronaldo is not even the best Ronaldo,atakuaje bora zaidi ya messi.!?!?
 
Mkuu tatizo sio hilo ila TUANZIE KUCHUKUA TAKWIMU ZAO WALIPOANZA KUWA WOTE PALE LALIGA maana games nyingi ambazo Ronaldo amekuwa involved bila kufunga ni zile za Man-U in EPL(Ligi ambayo ata Huyo messi wenu hawezi kwenda kwa hofu ya kupotea) ambapo Ronaldo alifunga goals 118 katika mechi 256...ila kwa pale Spain akiwa Real in LaLiga messi hagusi ata chembe...yani Ronaldo ana goals nyingi(285) kuliko michezo yote aliyocheza Laliga 265...huku messi akiwa na goals chache(349) kuliko michezo yote 382 aliyocheza LaLiga ina maana zipo games 33 ambazo messi amecheza pale laliga bila ya kufunga goli ata moja huku mwenzie RONALDO AMESHINDA KATIKA MECHI ZOTE ALIZOCHEZA LALIGA NA ANA GOALS 20+ ZAIDI YA MICHEZO ALIYOCHEZA PALE SPAIN NA NDIO MAANA RATE YA UFUNGAJI KWA RONALDO NI NZURI KULIKO MCHEZAJI YOYOTE KUWAHI KUTOKEA PALE LALIGA...ALAFU MISIMU MITANO AMBAYO MESSI EMEMZIDI RONALDO IMELETA TOFAUTI YA GOALS 64 tu(349 Goals for messi - 265 Goals for Cristiano =64 goals) kwa hiyo kuna misimu kama minne pale LaLiga messi amekuwa na wastani Wa goals 13 per season....SASA KAMA RONALDO HAJAWAI FUNGA GOALS CHACHE CHINI YA 20+ TOKEA ATUE PALE LALIGA JULY-2009 NA KAMA MSIMU WA 2014/2015 ALIWEZA KUIFUNGIA MADRID GOALS 46 ZA LALIGA INA MAANA RONALDO ANGETANGULIA MSIMU MMOJA NA NUSU PALE SPAIN IN LALIGA ANGEKUWA AMESHAMZIDI MESSI GOALS KADHAA NA KAMA ANGEANZIA SOCCER LAKE PALE SPAIN MESSI ANGEPOTEZWA VIBAYA SANA...

View attachment 527554
View attachment 527555
Na hapa wasipoelewa wakatafute mganga wao aliewaroga hamna namna.
 
MESSI is the great "team player" best dribler, runs magically with the ball and score wonderful goals anakufanya unaenjoy RONALDO anacheza miguu yote kati anaweza pembeni anaweza but he is not a "team player" he is a goal score therefore RONALDO is GOOD but MESSI is the BEST.
 
Back
Top Bottom