GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
The Brazilian legend concluded that non-ending war about who is best player in the WORLD.
View attachment 527273
View attachment 527274
View attachment 527275
View attachment 527276
View attachment 527278
Asante nifah umenyoosha MaelezoAsiyekubali Ronaldo ni zaidi ya Messi...
1.Haujui mpira
2.Mahaba/mihemuko inamuongoza.Huyu hawezi kusema tofauti na kilichomo ndani yake (mahaba)
Kwa kigezo gan ukisema messi ni bora kama ni kupiga chenga au mpira wa kuvutia hakuna mchezaji alikuwa na kipaji cha kipekee kama gaucho .Na wewe kumbe unaongeaga Ungese Hujui Mpira wewe kila anaejua Mpira anajua Messi si Bora tu Kuliko Ronaldo Bali ni Mchezaji Bora kuwahi Kutokea Duniani na Katika Hii sayari!
Ukimind Andamana!
Messi yule sio jeshi la mtu mmoja anategemea sana support ya team wakat ronaldo hayupo hivyo ni jeshi la mtu mmojaLakini ukumbuke anasema Messi is Extraordinary...Refer Physics kaka Einstein was Genius but Newton was Extraordinary....kama Hujui Extraordinary is More than Genius ma Geniuos wapo wengi sana!
Kakaa unakumbuka El classico ya Mwisho alichofanya na Ronaldo kafanya niniMessi yule sio jeshi la mtu mmoja anategemea sana support ya team wakat ronaldo hayupo hivyo ni jeshi la mtu mmoja
Messi nae aliwafanya nini juve [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kakaa unakumbuka El classico ya Mwisho alichofanya na Ronaldo kafanya nini
Kuishia Darasa la tatu ni Tatizo Kubwa Mno.. Kushinda Kombe la Dunia ni Kigezo ila sio Kikubwa kama unavodhani....Think out of the Box Panua Fikra..Acha uvivu wa Kufikiri....Hii ni Karne ya 21!Kaka kweli una akili timamu??? Messi amzidi PELE???? PELE KASHINDA MAKOMBE MATATU YA KOMBE LA DUNIA.. MESSI HATA COPA AMERICA HANA.. YAAN WEWE NI BOYA NA HUFAI HATA KUSHABIKIA MPIRA MPUUZI WEWE..
Wewe ni Mzungu .....hahahahaaa hii Mijinga sijui inatokea wapi?Mawazo ya kiafrika hayo ....wivu wivu wa namna hiyo kule hamna ....jenga hoja iliyokamilika
NB; I'm leo fan
Wewe ni Mzungu .....hahahahaaa hii Mijinga sijui inatokea wapi?Mawazo ya kiafrika hayo ....wivu wivu wa namna hiyo kule hamna ....jenga hoja iliyokamilika
NB; I'm leo fan
Hahahaa Kijana unajua wewe unajificha Nyuma ya Jani Chukua stats za mechi zao zote mbona kila siku unakimbilia Hizi Record Mbili tu? embu tizama katika mechi zote kwa ujumla nan ana Goal ratio kubwa? Halafu ukipata Uje unitag!Mkuu tatizo sio hilo ila TUANZIE KUCHUKUA TAKWIMU ZAO WALIPOANZA KUWA WOTE PALE LALIGA maana games nyingi ambazo Ronaldo amekuwa involved bila kufunga ni zile za Man-U in EPL(Ligi ambayo ata Huyo messi wenu hawezi kwenda kwa hofu ya kupotea) ambapo Ronaldo alifunga goals 118 katika mechi 256...ila kwa pale Spain akiwa Real in LaLiga messi hagusi ata chembe...yani Ronaldo ana goals nyingi(285) kuliko michezo yote aliyocheza Laliga 265...huku messi akiwa na goals chache(349) kuliko michezo yote 382 aliyocheza LaLiga ina maana zipo games 33 ambazo messi amecheza pale laliga bila ya kufunga goli ata moja huku mwenzie RONALDO AMESHINDA KATIKA MECHI ZOTE ALIZOCHEZA LALIGA NA ANA GOALS 20+ ZAIDI YA MICHEZO ALIYOCHEZA PALE SPAIN NA NDIO MAANA RATE YA UFUNGAJI KWA RONALDO NI NZURI KULIKO MCHEZAJI YOYOTE KUWAHI KUTOKEA PALE LALIGA...ALAFU MISIMU MITANO AMBAYO MESSI EMEMZIDI RONALDO IMELETA TOFAUTI YA GOALS 64 tu(349 Goals for messi - 265 Goals for Cristiano =64 goals) kwa hiyo kuna misimu kama minne pale LaLiga messi amekuwa na wastani Wa goals 13 per season....SASA KAMA RONALDO HAJAWAI FUNGA GOALS CHACHE CHINI YA 20+ TOKEA ATUE PALE LALIGA JULY-2009 NA KAMA MSIMU WA 2014/2015 ALIWEZA KUIFUNGIA MADRID GOALS 46 ZA LALIGA INA MAANA RONALDO ANGETANGULIA MSIMU MMOJA NA NUSU PALE SPAIN IN LALIGA ANGEKUWA AMESHAMZIDI MESSI GOALS KADHAA NA KAMA ANGEANZIA SOCCER LAKE PALE SPAIN MESSI ANGEPOTEZWA VIBAYA SANA...
View attachment 527554
View attachment 527555
Hahahaaa izo ni stats za mechi chache lakini aliwafanya nini Madrid El Classico...ukipata Jibu Ni tagMessi nae aliwafanya nini juve [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akuna sku nmemdharau mess km sku wako ugenini kwa PSG skuamini dk 90 adi za nyongeza zinaisha Mess ata attempt 1 golini hakuna,alafu alafu wasioukubali ukweli bado tu wanamlinganisha na Nguli C.Ronado ifike sehemu watu basi muwe na aibu ! Mtachekwa jamani.Juzi tu kazenguliwa kodi kajifanya kususa na kuama nchi angalia sasa vilabu vinavopigana vigingi kumnyakua yani wako tayari kulipa gharama zote ilimrad wampate bila kujali umri wake ,uyu MTU ni bidhaa adimu jamani.
KAKA MBONA HILI LA EL CLASSICO MNAKWEPA...MESSI ALIFANYA NINI? NA ROALDO ALIFANYA NINI?Mkuu sio hiyo ya PSG tu ile YA JUVE NAYO BARCA WALIKUWA NA SHOT-ON-TARGET MOJA TU NA ILO LENYEWE HAKUWA MESSI NI ILE AMBAYO SUAREZ ALIISIKUMIA KWENYE BOX ILA CHIELLINI AKAWAI KUICHEZA ALAFU AKAMPA MKONO BUFFON...YANI HAO WALIITIA AIBU SANA SPAIN KWA KWELI UKIZINGATIA WAO NDO WALIKUWA NYUMBANI(WENYEJI IN 2nd Leg Match)...BORA ATA RONALDO KULIKO MESSI JAPO HAO WANAZI WA MESSI WANANG'ANG'ANIA GOALS ZAKE NI ZA KUVIZIA LAKINI ATTEMPTS ON TARGET ANAZIFANYA NYINGI LABDA KIPA AZINYAKUWE MBALI NA APO NYAVU ZITACHEKA TU.
View attachment 527592
The Brazilian legend concluded that non-ending war about who is best player in the WORLD.
View attachment 527273
View attachment 527274
View attachment 527275
View attachment 527276
View attachment 527278
View attachment 527571
View attachment 527577