PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Hii picha huko Zanzibar imenisikitisha sana kwa kweli, huyo kijana anaadhibiwa kwa kuwa tu amekutwa akila wakati wa mfungo wa ramadhani!
Sasa kwa nini mnafanya hivi? Nilifikiri Allah wenu ni mkubwa na anaona kila kitu na kila mtu, na kwamba kila mtu atapewa hukumu yake kulingana na anavyoishi sasa ni kwa nini mnalazimisha watu waamini dini zenu?

Kama mimi sitaki kufunga au labda naumwa ni kwa nini ni tatizo lako? Acheni hizo bhana, mmeniboa sana kwa kweli!
Kijana wa watu akipigwa Zanzibar kisa alikula wakati wa Mfungo!
 
What is mfungo?
 
Ulikuwa unatafuta kiki ya kuongea ujulikane!tuamini vp kwmba huyo hajafunga anapigwa.acha kumtetea shemeji yako huyo kaiba kuku anachapwa
 
Itungwe sheria kabisa wanaokula wafungwe au faini na sio kupigwa!

Mara ngapi wengine tunafunga na hatuweki vikwazo kama ivyo? Nyie kufunga kwani ni kula tu? Mnakua mkiwaza chakula au kuwa karibu na Mungu wenu? Jifunzeni kuepuka majaribu sio kushindana nayo mana amtaweza.

Kuna wakristo wanafunga mpaka masaa 48 bila kula chochote na bila mtu kujua.. Nyie mnataka kila mtu awe kama nyie. Ni ngumu sana...... Badilikeni.
 
Wapigwe tu maana hakuna namna we utalalaje Mchana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…