PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Kama nyie mnafunga na hamuweki mipaka ni nyie, sisi tunaweka mipaka yetu ukikengeuka unakula bakora tu hatutaki mchezo sie!!
Hii dini ni kheri ya Freemasonry kama waumini ndo wanafundishwa hivi na kufuata kama wewe. Tumia kichwa kung'amua mafundisho siyo kufugia ndevu. Kufunga kwako kuishie moyoni mwako na si kusumbua wengine.
 
Hata uarabuni ukila kipindi cha ramadhani haupigwi
Ishu ya watuhumiwa kupigwa is so uncivilised! Mi sishabikii kabisa hata washukiwa wa uhalifu kupigwa ama kuuwawa kimsingi kila raia aheshimu haki na mipaka ya raia mwingine kuna uonezi sana nchi hii hata huyo don king! aka mfalme wa wayahudi aka MUUZA NYUMBA muonezi sana watu wanafanya mkutano ambao upo kikatiba mapolisi wanavamia na kuanza kupasua watu.
 
Hii dini ni kheri ya Freemasonry kama waumini ndo wanafundishwa hivi na kufuata kama wewe. Tumia kichwa kung'amua mafundisho siyo kufugia ndevu. Kufunga kwako kuishie moyoni mwako na si kusumbua wengine.
Sidhani kama unautashi mkubwa sana wa picha inayozungumziwa!
 
habari za facebook hizo,hii picha ya siku kibao lakini wanafiki wameingiza fcbk mwezi huu kudanganya vilaza kuwa pemba hiyo,hapo kuna mfungaji gani katika picha hiyo?
 
Mara ngapi wengine tunafunga na hatuweki vikwazo kama ivyo? Nyie kufunga kwani ni kula tu? Mnakua mkiwaza chakula au kuwa karibu na Mungu wenu? Jifunzeni kuepuka majaribu sio kushindana nayo mana amtaweza.

Kuna wakristo wanafunga mpaka masaa 48 bila kula chochote na bila mtu kujua.. Nyie mnataka kila mtu awe kama nyie. Ni ngumu sana...... Badilikeni.
Inasikitisha sana mtu anatoka kufuturu anaenda kula mirungi na kuvuta sigara
 
DINI ni imani,imani hailazimishwi kama mtu hana utayari.
 
uislamu ni dini ya Lucifer kabisa, hilo halina ubishi, mungu wa waislamu ni Lucifer mfalme wa kuzimu, mauaji, ugaidi, kuchinja watu ni wenyewe tu, dunia haikaliki Kwa Sababu ya hawa watu, ISIS, BOKO HARAM, ALSHABAB, ALQAEDA, ni shida tupu, yaani sijui Kwa nini, ni dini ya kimwili na siyo roho, wana fujo na washari vibaya mno, eti wanaruhusiwa kuua mtu asiye mwislamu, anayeua ni Shetani, hawa ni wa Shetani tu whatever the case.
Nashangaa dunia inaangalia hawa ni wa kusema no to Islamic, ngumi zianze, wanakera sana.
 
Hii dini ni kheri ya Freemasonry kama waumini ndo wanafundishwa hivi na kufuata kama wewe. Tumia kichwa kung'amua mafundisho siyo kufugia ndevu. Kufunga kwako kuishie moyoni mwako na si kusumbua wengine.
fikiri kabra ya kupost.....
 
Wacha ale njiti maana hamna namna kama kazingua apate tuuu
 
Ishu ya watuhumiwa kupigwa is so uncivilised! Mi sishabikii kabisa hata washukiwa wa uhalifu kupigwa ama kuuwawa kimsingi kila raia aheshimu haki na mipaka ya raia mwingine kuna uonezi sana nchi hii hata huyo don king! aka mfalme wa wayahudi aka MUUZA NYUMBA muonezi sana watu wanafanya mkutano ambao upo kikatiba mapolisi wanavamia na kuanza kupasua watu.
Hahahaaaaaa MUONGOZOOOOO....
 
Kama ndo hivi ni bora ccm itawale Kwa nguvu Zanzibar, maana wakija waarabu wataharibu hadi bara .
 
Back
Top Bottom