John Cannor
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,464
- 1,825
Hili gamba linataka kuleta sintofahamu katika jamii. LUMUMBA akili zenu haziwatoshi zinapelea sana.Hii picha huko Zanzibar imenisikitisha sana kwa kweli, huyo kijana anaadhibiwa kwa kuwa tu amekutwa akila wakati wa mfungo wa ramadhani!
Sasa kwa nini mnafanya hivi? Nilifikiri Allah wenu ni mkubwa na anaona kila kitu na kila mtu, na kwamba kila mtu atapewa hukumu yake kulingana na anavyoishi sasa ni kwa nini mnalazimisha watu waamini dini zenu?
Kama mimi sitaki kufunga au labda naumwa ni kwa nini ni tatizo lako? Acheni hizo bhana, mmeniboa sana kwa kweli!
Kijana wa watu akipigwa Zanzibar kisa alikula wakati wa Mfungo!
![]()
Upuuzi gani huu unauleta hapa na kusngizia kuwa ati mtu anapigwa ajafunga? jinga kabisa wewe.