PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Kama wewe unajifanya jeuri zaidi , unakula mchana kuonesha kiburi kabisa, itakuwa hakuna namna, upigwe tu, Sasa tufanye nini? Sisi tunasema upigwe tu
 
Unapokua mbele ya jamii jaribu kuepuka kuwadharau wao na maadili maadili yao. Kuheshimiana ni vizuri. Ikiwa huoni mtu anakula hadharani na wewe tafuta pahali pa faragha ule lakini usijitie umbumbumbu wa kutaka kuonesha umwamba la sivyo hakuna namba ila bakora tu itumike kuku rudisha kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom