Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Aksante kwa maneno yako na uelewa wako na watu kama wewe wenye uelewa mlitakiwa muiongoze hii hiyo jamii yenu. Si hawa wanaojichukulia sheria mikononi (nobody is perfect sir)Out of context! Issue hapa ni picha isiyo na ushahidi wowote nI ya nini lakini watu mnaanza kashifa na shouting zisizo na kichwa wala miguu! By the way, let's assume mnachosema ndicho kilichotokea; una uhakika gani ikiwa huyo anaepigwa ni Mkristo?!! By the way, huko makanisani nyie huwa hamuwatengagi watu nyinyi? Hivi kuna adhabu kubwa ya kiimani kama kumzuia mtu kufanya ibada? Where do you get that authority ya kumuona huyu ametenda na hana ruhusa ya kufanya ibada hapa:
View attachment 355622
Halafu unadai eti wakati upo Oman mlikuwa mnafungiwa cjui wapi cjui! Ikiwa Wakristo wengine wanaruhusiwa kwanini iwe nyinyi? Inafahamika ni kawaida sana madhehebu ya hovyo hovyo kuibuka na kujiita Wakristo na hao hata Tanzania hawaruhusiwi! With TRUE Christians; prove otherwise or else below is a known FACTS:
View attachment 355665
View attachment 355666
Oman Churches in Oman
Open the link to find more churches in Oman...
But you know what: Ningekushauri kuwa smart at least uweze kutofautisha kati ya matendo yanayofanywana Mwislam au Waislam na Uislamu! Ni aibu iliyopitiliza mtu kudiriki kusema eti ukitangaza Ukristo Zanzibar unauawa... unafkia kuitaja hadi Somalia nchi isiyo na serikali ili mradi tu kuwakilisha agenda yako!!
Na kama unadhani hao Wakristo wanaruhusu tu Uislamu; hebu pitia hapa chini;
View attachment 355668
View attachment 355669
So, stop pretending kwamba eti Wakristo ndo wanavumilia wengine! The problem reference yenu ni Ulaya na Marekani ambako majority kama sio zote ni secular states na ndio hata hayo maisha yao yenyewe ni total contradiction with Christianity!
AKSANTE MJADALA MZURI