Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kwa pande Barborsa tunatembea pamoja. Lakini pande ya Lumumba hapana. Hawa jamaa wakikaa miongoni mwenu watataka wawe huru kueneza imani yao!!! Lakini kinyume chake wao hawako tayari kuvumilia imani tofauti kuenezwa miongoni mwao.Hii picha huko Zanzibar imenisikitisha sana kwa kweli, huyo kijana anaadhibiwa kwa kuwa tu amekutwa akila wakati wa mfungo wa ramadhani!
Sasa kwa nini mnafanya hivi? Nilifikiri Allah wenu ni mkubwa na anaona kila kitu na kila mtu, na kwamba kila mtu atapewa hukumu yake kulingana na anavyoishi sasa ni kwa nini mnalazimisha watu waamini dini zenu?
Kama mimi sitaki kufunga au labda naumwa ni kwa nini ni tatizo lako? Acheni hizo bhana, mmeniboa sana kwa kweli!
Kijana wa watu akipigwa Zanzibar kisa alikula wakati wa Mfungo!
![]()
Mtu aachwe na imani yake hii ya lazima inatupeleka wapi jamani ?????!!!!
Nikitenda kinyume na mapenzi ya Mungu ni nafsi yangu inayoangamia siku ya kiama sasa hawa jamaa wanaomsaidia Mungu kufanya hukumu wao wa haki gani zaidi ya wanaemuadhibu ????!!
TUWE NA UHURU WA KUAMINI N.A. KUABUDU
Kama nyie mnafunga na hamuweki mipaka ni nyie, sisi tunaweka mipaka yetu ukikengeuka unakula bakora tu hatutaki mchezo sie!!