Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Yohana1 anzia mstari wakwanza nakuendelea.
Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu. 2 Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu. 3 Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba.
Nioneshe hapo ni wapi neno 'Yesu' limetajwa