MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Hii dini ni kheri ya Freemasonry kama waumini ndo wanafundishwa hivi na kufuata kama wewe. Tumia kichwa kung'amua mafundisho siyo kufugia ndevu. Kufunga kwako kuishie moyoni mwako na si kusumbua wengine.Kama nyie mnafunga na hamuweki mipaka ni nyie, sisi tunaweka mipaka yetu ukikengeuka unakula bakora tu hatutaki mchezo sie!!
Nyie ni nyie na sisi ni sisi fuatilia mambo yenu yakwetu hayakuhusu! !!
Ishu ya watuhumiwa kupigwa is so uncivilised! Mi sishabikii kabisa hata washukiwa wa uhalifu kupigwa ama kuuwawa kimsingi kila raia aheshimu haki na mipaka ya raia mwingine kuna uonezi sana nchi hii hata huyo don king! aka mfalme wa wayahudi aka MUUZA NYUMBA muonezi sana watu wanafanya mkutano ambao upo kikatiba mapolisi wanavamia na kuanza kupasua watu.Hata uarabuni ukila kipindi cha ramadhani haupigwi
Sidhani kama unautashi mkubwa sana wa picha inayozungumziwa!Hii dini ni kheri ya Freemasonry kama waumini ndo wanafundishwa hivi na kufuata kama wewe. Tumia kichwa kung'amua mafundisho siyo kufugia ndevu. Kufunga kwako kuishie moyoni mwako na si kusumbua wengine.
Dah mkuu we noma,hoja sio kulaka bali ni kula wakati wa mfungo .Wapigwe tu maana hakuna namna we utalalaje Mchana?
Ikiwa ww mwenyewe ujijui mimi utanijuaje?Nyie ni Kamaakina nani na sisi ni kina nani?
Inasikitisha sana mtu anatoka kufuturu anaenda kula mirungi na kuvuta sigaraMara ngapi wengine tunafunga na hatuweki vikwazo kama ivyo? Nyie kufunga kwani ni kula tu? Mnakua mkiwaza chakula au kuwa karibu na Mungu wenu? Jifunzeni kuepuka majaribu sio kushindana nayo mana amtaweza.
Kuna wakristo wanafunga mpaka masaa 48 bila kula chochote na bila mtu kujua.. Nyie mnataka kila mtu awe kama nyie. Ni ngumu sana...... Badilikeni.
fikiri kabra ya kupost.....Hii dini ni kheri ya Freemasonry kama waumini ndo wanafundishwa hivi na kufuata kama wewe. Tumia kichwa kung'amua mafundisho siyo kufugia ndevu. Kufunga kwako kuishie moyoni mwako na si kusumbua wengine.
Hahahaaaaaa MUONGOZOOOOO....Ishu ya watuhumiwa kupigwa is so uncivilised! Mi sishabikii kabisa hata washukiwa wa uhalifu kupigwa ama kuuwawa kimsingi kila raia aheshimu haki na mipaka ya raia mwingine kuna uonezi sana nchi hii hata huyo don king! aka mfalme wa wayahudi aka MUUZA NYUMBA muonezi sana watu wanafanya mkutano ambao upo kikatiba mapolisi wanavamia na kuanza kupasua watu.
Swali ni kwamba ni nani amekupa hayo Mamlaka ya kuhukumu?
Kwa akili yako unaona sikufikiri et? Au haya ya kupigwa watu wanaokula kabla ya futari ni stori za kijiweni?fikiri kabra ya kupost.....