Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

Vita havina macho
Adui wako wa Jana anaweza kuwa rafiki akakufaa leo, and the vice versa is true. Sisi tulioenda majeshini enzi hizo tunajua kwamba haupaswi kutuma vikosi vyote kwenye uwanja wa Vita.

Rusha kikosi kimoja kimojahadi ikifika unamaliza infantry then utarusha vingine baadae kama ziada.

Usitoe silaha kwa sifa
 
Ilani ya UCHAGUZI ya CCM haikuwa na kipengele cha KATIBA MPYA.....Chadema wanatwanga maji tu kwenye kinu.....
 
Back
Top Bottom