Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

Kipindi kile alipoenda Mwendazake kupiga rangi viatu kwenye vijiwe, utasikia anajidai huyo.

Ila kwa Mbowe, ndivyo walivyofanya wapigania uhuru.

Utadhani Tanzania bado haijajitawala.

Duuh!.
Mkuu unatumia soda gani asee
 
Kipindi kile alipoenda Mwendazake kupiga rangi viatu kwenye vijiwe, utasikia anajidai huyo.

Ila kwa Mbowe, ndivyo walivyofanya wapigania uhuru.

Utadhani Tanzania bado haijajitawala.

Duuh!.
Kama imekuuma chomoa
 
As long wewe unafahamu maana yake basi utakuwa umenielewa despite ya wewe kuchagua kunyambua neno moja tu kwenye comment nzima.
Neno hilo moja linaweza kuharibu maana nzima ya kile kizuri ulichokusudia kukisema
 
Hii kulakula hovyo haito mfikisha popote asijidanganye abadani
 
Inapendeza na ahsante kwa taarifa...

Utalii wa ndani...
 
Kipindi kile alipoenda Mwendazake kupiga rangi viatu kwenye vijiwe, utasikia anajidai huyo.

Ila kwa Mbowe, ndivyo walivyofanya wapigania uhuru.

Utadhani Tanzania bado haijajitawala.

Duuh!.
unaua watu uende tena vijiweni kutafta huruma,mbowe hatafti huruma
 
Back
Top Bottom