Mkipata mkipoteza its non of our bizinesi unafkiri kuna panya yoyote anaeweza kuja kuvunja mpaka wetu, nyinyi mmekalia sehemu isiyo yenu.Ukitaka kujua kwamba huwezi kuwa na mazungumzo yeyote ya maana hapa JF na Bongolalas kuhusu Kenya, fuata hii thread.
Jambo la kusikitisha ni kuwa hawaoni hiyo ICJ ruling itakavyokuwa na effects kwenye "the African East Coast marine boundaries."
Wao tu ni kujipiga kifua wakiomba Kenya ipoteze kwenye kesi hiyo... mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo
Issue ya migingo ni tofauti na Ile ya bahari Hindi kabisa.Mngeanza kuichukua migingo halafu mfikirie kuichukia pemba
Unaongea kishabiki Ila sio kitaalamu,Acha wanaofahamu Sheria ya maritime wajadili ,huna hoja wewe boya tu.Hiyo ndumu unayovuta duuu ..pole ila sahau kuhusu pemba mjomba ,usije jitafutia shida
Hawa watu hushabikia nchi tu bila kufanya analysis ya mambo yanavyokwenda.Ukitaka kujua kwamba huwezi kuwa na mazungumzo yeyote ya maana hapa JF na Bongolalas kuhusu Kenya, fuata hii thread.
Jambo la kusikitisha ni kuwa hawaoni hiyo ICJ ruling itakavyokuwa na effects kwenye "the African East Coast marine boundaries."
Wao tu ni kujipiga kifua wakiomba Kenya ipoteze kwenye kesi hiyo... mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo
Hiyo case wala haihusu Tanzania, na kama unataka Tanzania ihusike kwa style hiyo ulioielezea hapo basi sio Tanzania tu bali ni nchi zote zinazopakana na bahari na huenda sio Africa tu bali dunia nzima, so Tanzania wala haipati homa kuhusu hilo.Nimesema automatically Kwa mujibu wa Sheria hicho kisiwa kitakua Kenya lakini Tanzania pia itapinga na Nina uhakika hio kesi ikianza Tanzania itajoin kama amicus curiae kuelezea mahakama jinsi itathirika na uamuzi wao pia itaelezea mahakama kua haipo tayari kuruhusu eneo lake kuchukuliwa na Kenya na Kenya pia watainsist kwamba mpaka wa kasikazini ukibadilika mahakama iiamuru Tanzania kisiwa kuchukuliwa na hio ni strategy Tu kuweka pressure Kwa mahakama kurule in kenyas favour.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwa ufupi tuu sahauni kuhusu pemba na eneo lake la bahari.Hawa watu hushabikia nchi tu bila kufanya analysis ya mambo yanavyokwenda.
Msililetaga maneno kama ni kisiwa chenu,alichowafanya mu7 mpk amtosahau!Issue ya migingo ni tofauti na Ile ya bahari Hindi kabisa.
Ukitaka kujua kwamba huwezi kuwa na mazungumzo yeyote ya maana hapa JF na Bongolalas kuhusu Kenya, fuata hii thread.
Jambo la kusikitisha ni kuwa hawaoni hiyo ICJ ruling itakavyokuwa na effects kwenye "the African East Coast marine boundaries."
Wao tu ni kujipiga kifua wakiomba Kenya ipoteze kwenye kesi hiyo... mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo
Mwanzo wa ngoma milele.kwa ufupi tuu saauni kuhusu pemba na eneo lake la bahari
mshinde mshindwe kesi haituhusu ila msiombe kukutwa na bwana peps (tpdf)
Kale kasiwa hakafiki hata hekari moja,na kile kisiwa sio strategic kama lilivyo eneo la mgogoro kule bahari hindi Kwa uchumi na usalama wa kenya.Msililetaga maneno kama ni kisiwa chenu,alichowafanya mu7 mpk amtosahau!
Hakuna Sheria ya kimataifa ambayo inatoa muongozo Kwa mipaka ya maziwa lakini zipo Sheria ambazo zinatoa muongozo Kwa mipaka ya bahari ,ndio nikawambia kama hamuelewi mambo na hamna hoja msidakiedakie tu vitu kisa mjulikane tu kama mpo.Mingingo imewatoa kamasi ndo mtaiweza pemba???..
They will be forced to take it due to the issue of Territorial waters endangering important ports of Lamu and Mombasa. Invading Tanzania is child's play to Kenya Ni kitu ya a few hours with Naval and Airforce assault.Hata kama Somalia ikifanikiwa hiyo adhma yake ambayo najua hawatofanikiwa anyway, serikali yenu haina guts za kuichukua sehemu ya Tanzania hilo viongozi wenu wanalijua fika.
am vindicated, why can't you engage in an intellectual debate on such matters??Mingingo imewatoa kamasi ndo mtaiweza pemba???..
They will be forced to take it due to the issue of Territorial waters endangering important ports of Lamu and Mombasa. Invading Tanzania is child's play to Kenya Ni kitu ya a few hours with Naval and Airforce assault.
Are you able to follow the case with your brain? ama ni kupayuka tu????mkipata mkipoteza its non of our bizinesi unafkiri kuna panya yoyote anaeweza kuja kuvunja mpaka wetu, nyinyi mmekalia sehemu isiyo yenu
Naona mnatafuta kipigo nyie, Idd Amin alianza chokochoko hivi..!
Sasa TZ wapige Kenya?? , hata kama kujipiga kifua bana...Naona mnatafuta kipigo nyie, Idd Amin alianza chokochoko hivi..!
Yes ni kweli mko na IQ kubwa ya tribalism, kulamba wazungu miguu.Kenya has higher average IQ and higher percentage of literate people than TZ,
so if there is anyone with akili fupi ni nyinyi...