Nimesema automatically Kwa mujibu wa Sheria hicho kisiwa kitakua Kenya lakini Tanzania pia itapinga na Nina uhakika hio kesi ikianza Tanzania itajoin kama amicus curiae kuelezea mahakama jinsi itathirika na uamuzi wao pia itaelezea mahakama kua haipo tayari kuruhusu eneo lake kuchukuliwa na Kenya na Kenya pia watainsist kwamba mpaka wa kasikazini ukibadilika mahakama iiamuru Tanzania kisiwa kuchukuliwa na hio ni strategy Tu kuweka pressure Kwa mahakama kurule in kenyas favour.
Sent from my CPH1803 using
JamiiForums mobile app