Nyinyi ni wajina Zanzibar ilikuwa ni nchi siyo visiwa vya Tanganyika hivyo hiyo hoja yenu ni ki chekesho kunanchi ipo ndani ya south Africa unajua iloUkitaka kujua kwamba huwezi kuwa na mazungumzo yeyote ya maana hapa JF na Bongolalas kuhusu Kenya, fuata hii thread.
Jambo la kusikitisha ni kuwa hawaoni hiyo ICJ ruling itakavyokuwa na effects kwenye "the African East Coast marine boundaries."
Wao tu ni kujipiga kifua wakiomba Kenya ipoteze kwenye kesi hiyo... mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo
Walahi usiponiquote hulali usingizi.Pemba na unguja ilikuwa nchi kamili hivyo hatakama Pemba ingekuwa km1 kutoka Mombasa ikiwa ni nchi kamili mipaka utakatwa pasupasu
Waafrika sijui nani alituroga.
Mipaka ilichorwa na wazungu kinyume na matakwa yao kwa matakwa yao ya kiutawala, sisi tunaanza kuzozana na kupigana ...
Kuwa muafrika ni kukazania mambo ya ajabu yaliyoletwa na wazungu na waarabu
Mara Malawi alete fyoko, Mara Uganda, Mara Kenya dah!
Mkishamaliza komboa mipaka kwa kugombana na waafrika wenzenu sijui mtaenda dai mipaka ya Africa na ulaya?
Stupid nyang'au😀 😀 😀 Bongolalas self imagined might....
Mombasa mtaichukua vipi ilihali haipo mpakani na Tanzania? Pemba inaweza chukuliwa kama uamuzi wa ICJ utakua upande wa Somalia mpaka utabadilika na Pemba inaingia Kenya automatically.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Eti Pemba is your territory, since when? It never was!We must make sure that Pemba returns to Kenya. This issue must reach the Kenyan Parliament. Countries can't be taking our territories and just go away with it. It is time Kenya stamps authority around the region.
Wale jamaa wanajijua kama wao ni Dola ya Zanzibar, mda wa kuwa under Kunya umemalizika na Mombasa must be returned to Zanzibar.Vp wale jamaa wa Mombasa wanaotaka kujitenga wanasemaje sasa hivi?
Sio kenya inachukua Ila ni Sheria ya maritime boarder inasema hivyo kila nchi ambayo inapakana na bahari mpaka wake ni 200 nautical miles into the sea halafu ule mpaka mwengine unaitwa international waters, mpaka wetu wa kasikazini ukibadilika inamaanisha hata mpaka wetu wa kusini pia utabadilika Ndio maana hio kesi ni ngumu upande wa Somalia na Hilo litaathiri bara zima.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hao wakoloni kwao hakuna mipaka?
Kumbe unatusumbua wakati wewe ni manzi
Umeambiwa Mimi ni manzi?Kumbe unatusumbua wakati wewe ni manzi
For your information some kenyan coastal areas were under the jurisdiction of Zanzibar sultanate.
For business purposes and selling of Africans for his own benefit, mention any achievement that blacks benefited from his rule other than Being sold?.For your information some kenyan coastal areas were under the jurisdiction of Zanzibar sultanate.
The point here is that part of the kenyan coastline was under zanzibar.For business purposes and selling of Africans for his own benefit, mention any achievement that blacks benefited from his rule other than Being sold?.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
By that time there was no Kenya or Tanzania,the boundaries were created by the colonies hold on,is there any coastal Kenyan who fought for independence alongside Tanzanian?if any mention him or her , they aligned themselves with their brothers and sisters from the upcountry and that shows you they were more Kenyan than Tanzanian.The point here is that part of the kenyan coastline was under zanzibar.
You are just evading the fact that as up to 1960 the kenyan coastline was under zanzibar.By that time there was no Kenya or Tanzania,the boundaries were created by the colonies hold on,is there any coastal Kenyan who fought for independence alongside Tanzanian?if any mention him or her , they aligned themselves with their brothers and sisters from the upcountry and that shows you they were more Kenyan than Tanzanian.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app