vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
yeah, go hang...our methods workYes ni kweli mko na IQ kubwa ya tribalism, kulamba wazungu miguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah, go hang...our methods workYes ni kweli mko na IQ kubwa ya tribalism, kulamba wazungu miguu.
hamnanga aibu mkijilinganisha na nchi kame ambayo haina madini wala ardhi tosha ya ukulima??Yes ni kweli mko na IQ kubwa ya tribalism, kulamba wazungu miguu.
Idi Amin alichokoza Tz sio Kenya kea kuwa alijuaje sisi Moto was kuotea mbali. Tz haikuenda kumpiga Idi Amin peke yake Bali na Nchi zingine na pia Uganda wenyewe walikuwemo pia pande yenu. Nionyeshe Vita Tz imeingia kifua kifua peke yake pasipo na usaidizi wa Nchi zingine, weka hapa Kama unajielewa na kuelewa Historia ya Afrika.Naona mnatafuta kipigo nyie, Idd Amin alianza chokochoko hivi..!
Kibera chang'aa effect ndio inakusumbuaKama kisiwa kidogo Cha Comoros mlisaidiwa na Ufaransa,Mtaweza kweli Mombasa Kama hata Port ya Dar inawashinda kazi? You have no Navy na Kama ipo Ni ya hovyo tu.
Hahahahaha daa jf imekua ya kitoto kweli...They will be forced to take it due to the issue of Territorial waters endangering important ports of Lamu and Mombasa. Invading Tanzania is child's play to Kenya Ni kitu ya a few hours with Naval and Airforce assault.
Ardhi mnayo ila inamililikiwa na wanasiasa na wazungu huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula,hamnanga aibu mkijilinganisha na nchi kame ambayo haina madini wala ardhi tosha ya ukulima??
SindanoKibera chang'aa effect ndio inakusumbua
We jamaa bhana, kwenye masuala ya ardhi la taifa jingine, hakunaga cha automatically. Usichukulie poa na kirahisi ivyo, nyinyi mnabishania mafuta, wakiwashinda eti mje mpiganie kipande cha nchi ya watu. Yani Tz imepambana kumwaga damu kuwakomboa from sultanate then kuungana kwa damu na jasho, alafu eti automatically iwe kisiwa cha kenya. Hehee. My friend, endeleeni kujipea moyo huku mkiiota pemba.Kwani we huoni Ile claim ya Somalia? ICJ wakisema Somalia ndio wenye disputed area automatically Pemba inaingia Kenya Kwa sababu Sheria ya maritime boarder inasema nchi ambazo zinapakana na bahari mpaka wao ni 200 nautical miles into the sea and if our northern border inabadilika unamaanisha automatically our southern border also changes.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nyinyi tunawatumia NYS na G4S.Ahahaha kumbuka pemba sio kakipande ka maji ya bahar kijana, ni kipande cha land ya Tz na inawatu wake, ina serikali ake ina zanzibar na ina big boy Tz. Hata mkikunja vp mipaka pemba ni Tz, haipo ndani ya Tz peke ake bali ni Tz yenyew, ni ardhi yetu. Kuna kale kainch kako ndani ya S.A unajua kwann SA ilishindwa kukachukua? Coz ile ni ardhi ya watu na ina watu na serkal ake. Maritine borders ni tofaut na kipande cha ardhi cha nchi fulani. You and your shit country hamtothubutu kuclaim pemba ni yenu. Pemba inaezasacceed ikisema yenyew ni nchi huru coz tunaona hiyo inatokea sehem mbali mbali duniani kama china na hongkong japo pia kufanikiwa ni ngumu sana, ila eti sio linchi la mbali kama kenya lije ndani ya nchi fulani lianze kusema ardhi ya Tz ni yake, bruh tutawachapa vibaya mno. Uganda and malawi waliisoma namba. You and your politicians knows that. Thank you
HaHaha 😆 😆Unfortunately Nyerere alishaona mbali. Pemba is a zanzibar island, in the United Republic of Tanzania.
Mkiigusa hiyo tunaingia hadi nairobi, hatusubirii hiyo mahakama gani sijui, iseme nini.
Mbona nyie mnatuota kila siku?We jamaa bhana, kwenye masuala ya ardhi la taifa jingine, hakunaga cha automatically. Usichukulie poa na kirahisi ivyo, nyinyi mnabishania mafuta, wakiwashinda eti mje mpiganie kipande cha nchi ya watu. Yani Tz imepambana kumwaga damu kuwakomboa from sultanate then kuungana kwa damu na jasho, alafu eti automatically iwe kisiwa cha kenya. Hehee. My friend, endeleeni kujipea moyo huku mkiiota pemba.
kitu tutafanya tutaacha sheria ifanye kazi badala ya busara iliyotumika kupindisha mpaka pale knjaro,tunaunyoosha mpaka mombasa.
msione viongozi wenu na wanazuoni wanakalia kimya hili swala ni gumu sana upande wa kenya.
Tunawaotaje, sisi tunawashangaa tu.Mbona nyie mnatuota kila siku?
Aha! Mna shanga? Tutawapa hadi mikufu.Tunawaotaje, sisi tunawashangaa tu.
Kilaza mbona sisi hatukuichukua Zanzibar ,Kwa sababu ni nchi tumepakana nayo baharini kuna kanuni za mipaka Zanzibar ilikuwa nchi kamiliMombasa mtaichukua vipi ilihali haipo mpakani na Tanzania? Pemba inaweza chukuliwa kama uamuzi wa ICJ utakua upande wa Somalia mpaka utabadilika na Pemba inaingia Kenya automatically.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Arafu huyo injinia ni mdada mm nilidhani ni dumeUnavyoongea kirahisi, eti pemba itaingia Kenya automatically [emoji23]
Kwani we huoni Ile claim ya Somalia? ICJ wakisema Somalia ndio wenye disputed area automatically Pemba inaingia Kenya Kwa sababu Sheria ya maritime boarder inasema nchi ambazo zinapakana na bahari mpaka wao ni 200 nautical miles into the sea and if our northern border inabadilika unamaanisha automatically our southern border also changes.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app