digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Unaumia Mimi kuchukua mkopo? Si Bora Mimi nakopesheka kwenye mabenki kuliko wewe usiyeaminika hata kwa barozi wa Nyumba kumi, na huenda hata hujui kuwa marekani pamoja na kuwa super power naye huwa anakopa, Sasa Mimi mwalimu wa Mpigamiti Ni Nani Hadi nisikope? ,Kama Unaumia Mimi kukopa,Basi subiri kwenye tarehe 6-9 mwezi wa nane napanga kuchukua mkopo wa M8 ,Mla chake tajiri.Hahaha 200,000 ulivyo kichwa maji unadhani utafanyia chechote ongezeko la gharama za maisha hulifikirii! Na mikopo mnayochukuaga mnafanyia mambo yasiyo na kichwa wala miguu!
Mikumi Tena kwa mama samia,