Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

JamiiForums-253609193.jpg
 
Haukua mpira wa kichwa kivipi au umesimuliwa mpira ulikua juu na Morrison aliweza kuufikia kwa kichwa na beki wa polisi kanyenyua mguu ulitaka iwaje mpaka iwe faulo kumbuka mpaka jopo la madaktari liliitwa ili Morrison atibiwe au ulitaka afie uwanjani
Haikua mpira wa kichwa,Morrison aliinama ili aupige,acha mahaba
 
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi...
Hapana japo mie ni yanga pure ile ni penalty ya dhahiri kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Basi tulichukue goli la Kagere la kichwa.

Bado naona timu zinakamia mechi za Simba.

Kwakuwa wachezaji wa timu pinzani wananyanyua sana madaluga.

Kapombe kapigwa daluga kali refa kachukulia poa.

Dilunga kapigwa daluga kali refa kachukulia poa

Yondani kamchapa daluga kali Kagere refa katoa njano

Morrison kapigwa daluga la begani refa katoa penati na redi kadi.

Yako madaluga mengine mengi tu refa kapeta.

Huku ndiko kukamia tunako kupigia kelele.

Kukamia kuzuri ni kucheza kwa bidii bila rafu za makusudi.

Ni kama Mbeya City wanavyo mkamia Yanga.
 
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi...

Basi sawa, na hilo je?
 
Ulitamani tufungwe hatushangai!

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulisema Simba atafungwa na unataka afungwe au sare ili uje utoe povu. Saizi unatokwa ba povu pia japo Simba kashinda. Jana nilimsikia mzungu toleo la Afrika akisema "pale mm nina watu na napendwa pia". Sikumwamini hadi nilipoona posti hii. Mwana Simba anaumiaje na ushindi wa Simba?
 
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami
Baada ya mechi dhidi ya jwaneng si ulisema umeacha kuishabikia na kuifuatilia SIMBA SC TANZANIA?

Sasa kipi kinachokuwasha? TULIZA NDUKU HILO NA TUACHIE SIMBA YETU HANITHI WEWE.

Nitaipenda SIMBA sc milele iwe wakati wa raha au shida.
 
Hayo ni maoni yako, simba inaendelea mbele wewe endelea na dua zako za kuitakia mabaya
 
Bila shaka ndani ya Simba kuna mtu anakukaza haiwezekani Mwana Simba uombee mabaya Simba kama siyo umepigwa pu..bu hutaki kuachika
 
We matacall baada ya mechi dhidi ya jwaneng si ulisema umeacha kuishabikia na kuifuatilia SIMBA SC TANZANIA?

Sasa kipi kinachokuwasha? TULIZA NDUKU HILO NA TUACHIE SIMBA YETU HANITHI WEWE.
Nitaipenda SIMBA sc milele iwe wakati wa raha au shida.
Hilo shoga linajipendekeza sana msimbazi
 
Kusema tu ukweli kwa jana Simba walionesha mpira wa matumaini tatizo ni Mtu wa kukwamisha mpira kimiani.

Anayesema Simba bado huyo anahitaji maombi.
 
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi...
Mkuu Niko tofauti kidogo, ile ilikuwa 100% ni penati, sema tukio lenyewe limefanyika ndani ya box na kama ingekuwa inje ya eneo lile obviously ingekuwa faulo ya kawaida tu, beki wa polisi hata yeye alionekana kujutia kile kitendo cha kunyanyua mguu na kumgusa Bernard hata hivyo Bernard alikuwa mjanja kuingiza kichwa maana hakuonekana kuelekea golini moja kwa moja ni pembeni. Kwangu ni penati halali.
 
Yani Hasira zote hizi zimekuja baada ya Mungu kukutumbua kwenye maombi yako ya kutaka Simba ifungwe? Usijali Manula atafungwa na Ajibu kwenye mazoezi.
 
Genta ushakuwa mchawi....muda wote kutuwangia Tena mchana kweupe
 
Back
Top Bottom