Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikua mpira wa kichwa,Morrison aliinama ili aupige,acha mahabaHaukua mpira wa kichwa kivipi au umesimuliwa mpira ulikua juu na Morrison aliweza kuufikia kwa kichwa na beki wa polisi kanyenyua mguu ulitaka iwaje mpaka iwe faulo kumbuka mpaka jopo la madaktari liliitwa ili Morrison atibiwe au ulitaka afie uwanjani
Yanga inaingiaje kwenye mada hii?Kama Goli la Yanga Vs Kagera Sugar ambalo lilifungwa na Fei Toto. Goli lilikuwa clear offside lakini Linesman akapeta.
Simba inacheza mpira mzuri na wakufurahisha tatizo ni umaliziajiSimba haipo kama msimu uliopita lakini sio mbovu kama mnaivyoishambulia hivyo...
Hapana japo mie ni yanga pure ile ni penalty ya dhahiri kabisaNipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi...
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi...
Baada ya mechi dhidi ya jwaneng si ulisema umeacha kuishabikia na kuifuatilia SIMBA SC TANZANIA?Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami
Hilo shoga linajipendekeza sana msimbaziWe matacall baada ya mechi dhidi ya jwaneng si ulisema umeacha kuishabikia na kuifuatilia SIMBA SC TANZANIA?
Sasa kipi kinachokuwasha? TULIZA NDUKU HILO NA TUACHIE SIMBA YETU HANITHI WEWE.
Nitaipenda SIMBA sc milele iwe wakati wa raha au shida.
Mkuu Niko tofauti kidogo, ile ilikuwa 100% ni penati, sema tukio lenyewe limefanyika ndani ya box na kama ingekuwa inje ya eneo lile obviously ingekuwa faulo ya kawaida tu, beki wa polisi hata yeye alionekana kujutia kile kitendo cha kunyanyua mguu na kumgusa Bernard hata hivyo Bernard alikuwa mjanja kuingiza kichwa maana hakuonekana kuelekea golini moja kwa moja ni pembeni. Kwangu ni penati halali.Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi...